Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Watu wa humu hasa wanaume mmjue kwamba mtu akitoa post au akikoment jamboo sio anawahitaji .

Sijui kwa wengine ila kwangu mimi HAPANA siitaji mtu wala nini.

Shida ya watu wa humu ni mtu tu yupo inbox mnachart upupu wala hamuonani na wala hamuwezi kufika mbali.
Saivi maisha nikuonana nasio kuota .
Mtu anaota maisha nakumuamini hilo hapana.

Maisha nikumpata mtu mnayeonana.
Kwahiyo kwangu mimi siitaji mwanaume humu .
Samahanini.
Sina time na wanaume wa humu mujue .
Sababu ni hizi.
Nimekuwa na nimeelewa kuwa wanaume wamitandao sio dili.
Comment yangu ni hii kuna wanaume humu ndani wanadhani bila wao hatuishi.

Hadi wao tu waende pm ,hapa silishwi nanyie , wala chochote watu hawawategemi nyie.
Muwe na hela , muwe masikini, mkija humu jueni sio kila mtu anajiuza humu au anawataka humu .

Watu wanamaisha yao na watu wanaishi kwakutumia nguvu zao.
Halafu jingine muelewe hivi maana yaani mnajioona eti bila nyie hatuolewi. Au hatuliwi mpaka tuende pm mje mtule mnakaushenzi kenu kakijinga. Visheria vyenu.
Vya kijinga sana eti walionaaccount humu wanawategemea watu vuteni bangi tu.

Hapa watu wanamaisha yao halisi .
Umri sio tatizo tatizo bwana tatizo je unamfahamu vizuri??
Unamchukulia tu eti malaya kalala nawewe??

Hapo unanjaa hujala muda ila unacomment upupu tu .
Eti ili upate kiki kwa wanajamii umeongea upotolo.
MB umegongea kwa mshakaji halafu unaingia humu unaongea ijioni hujui unalala wapi.
MAISHA NI MAGUMU HUMU HAPAKUPI HELA KAMA YOU TUBE .
HUMU NI UNAPOTEZA MUDA TU.
 
Sawa umesema kweli Ila wapo baadhi ya wanawake hupendezwa Sana wanapofuatwa inbox. Wanapenda Sana kushobokewa Ila wewe ni Kama dada mpaka kaacha kupost picha zake nzuri nzuri kwenye Fb ili kuepukana na usumbufu anaoupata inbox nawengine wanamtumia namba pasipo yeye kuwaomba. Hongera sana kwakujitambua.
 
Alisikika 'Sleyikwini' mmoja wa JF
images%20-%202021-07-20T110404.162.jpg
 
Sawa umesema kweli Ila wapo baadhi ya wanawake hupendezwa Sana wanapofuatwa inbox. Wanapenda Sana kushobokewa Ila wewe ni Kama dada mpaka kaacha kupost picha zake nzuri nzuri kwenye Fb ili kuepukana na usumbufu anaoupata inbox nawengine wanamtumia namba pasipo yeye kuwaomba. Hongera sana kwakujitambua.
Sio kujitambua ndio shida sio kila mtu anapenda kufuata na blank people unajua tofautisha mtu wa mtaani na humu wa humu humuoni na wa mtaani unamwona .
Sasa wahumu anamdomo kama hata unamjua hushangai ni mwehu.
Unamwita mtu malaya umemla??
Unamwita mzee unamjua?
Umewahi kaa naye japo meza moja ukamwona ni wa tabia gani??
 
Pole bidada ila hiyo kadhia ipo mitandao yote ya kijamii. Ukiwa mdada utasumbuliwa na wanaume, hiyo ni 22/7, uwe mbaya au mzuri wadau watakuja inbox tuuu.
Poleni sana kina dada kwa hilo. Na halitaisha leo baada ya uzi huu. Hapo ni kama umechochea motoo
 
Unique Flower upo sahihi lakini pia watu wanavoishi humu ni kama mtaan kwahio wanaume sisi kukuchek chek ni kawaida na nadhani wanawake mmezoea hiko kausumbufu otherwise uwe umeshtuka asubui umejikuta mwanamke
 
Back
Top Bottom