Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu?
Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache aende naamini kuna baadhi ya wanawake watajitokeza humu na kutuambia hawapendi wanaume wadhaifu wanahitaji mwanaume mwenye msimamo, akikuzingua unamuacha bila kurudi nyuma.
Jamani tuwe na unaume ndani yetu. Mwanaume halilii mapenzi hiyo ni tabia ya kike.