Baadhi ya wanawake wanaojiheshimu hawajui nini wanaume wanataka, kunapelekea wengine kutoolewa kabisa

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,176
2,000
Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa

Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia wanajua nin wanaume wanataka, mfano unamkuta mwanamke ana miaka 24 na kuendelea unamtongoza anajifanya aelewi kitu mwishowe mwanaume anampotezea sababu Wanawake ni wengi

Point sio kwamba mwanamke umkubalie mwanaume haraka haraka hapana, lakin kumzungusha mwanaume miezi mitatu kila siku mtu anaanza kukutongoza upya kunawafanya Wanawake wengi wanaojiheshimu kukaa mda mrefu sana ili kupata mwenza

Hii inasababishwa na Wanawake wako wengi na cheap, ukichanganya ugumu wa maisha ni nadra sana kwa mwanaume kutumia akili sana ili kumpata mwanamke na mda huo huo atumue kwenye maisha

Ndo maana ni kawaida sana kuwakuta wanaojiheshimu kuwa single lakin sio wale ambao wanaonekana hawajatulia
 

King Mbappe

JF-Expert Member
Jul 26, 2018
977
1,000
pengine kukaa miezi mitatu bila kupewa jibu la kueleweka unataka mwenyewe. kama unajua anajiheshimu na unampenda mwambie unataka uende kwao kujitambulisha.

penye nia pana njia, ukikata tamaa ya kumfukuzia huna nia.
 

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,176
2,000
Kwa kukusaidia kwa mwanaume aliyekamilika Hana mda wa Nye yeye ni mda wowote anaingia mzigoni, hayo mambo ya nyege yako kwa Wanawake ambao Mara wako siku zao, Mara wako siku za hatari lakin sio kwa mwanaume

Mwanaume anaugwadu hamu iliyopitiliza kwa kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom