wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanatendwa na michepuko kuwaharibia ndoa zao, tuwasaidie

    Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anatuona

    Nimekaa hospital moja hapa mjini naona wakinamama na mimba zao. Hakuna hata aliyeambatana na mume au aliyesababisha mimba. Mbaya zaidi wamama Afya hazijakaa vzr kabisa, wako kinyonge nyonge kabisa. Tujaribu kuwana kaupendo kidogo. Na tujue Wanaume wote na tabia zetu hizi za kutekeleza wenzetu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  6. JamiiForums Tanzania Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

    Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda. Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana..... Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini Wanaume wanaongoza kwa kujiua?

    UTANGULIZI "Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani) Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni hatua ya ujasiri; Mkazo/Msongo wa mawazo,Kukosa kazi,Kutengwa/Unyanyapaa,mizozo ( hasa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  9. JamiiForums Tanzania Natoa hoja: Ifike wakati soka la wanawake kitaifa lipewe kipaumbele kuliko la wanaume

    Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake. Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kiuchumi wawatesa wanaume Geita

    Ukatili wa kiuchumi unaofanywa na baadhi ya wanaume wa Kata za Nzera na Kakubiro, Mkoa wa Geita wakati wa msimu wa mazao, unasababisha kufanyiwa ukatili wa kingono pindi msimu wa mazao unapomalizika. Wakizungumza leo Jumanne Septemba 6,2022 wakati wa mafunzo kwa kamati za Mpango wa Taifa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Adui mpya kwa wanaume aliyeibuka karne hii ya 21

    Historia ya ulimwengu kuna nadharia za kiimani na za kisayansi ambazo zimetofautiana jinsi ya kuelezea kuumbwa kwa ulimwengu mzima na vilivyomo ndani ya ulimwengu huo. Kwa mujibu wa sayansi ulimwengu ulitokea baada ya migandamizo na milipuko ya gesi mbalimbali na kuunda ulimwengu ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume

    Kwa wale ambao mmezoea kushiriki ngono bila kutumia Kinga chukueni ushauri ufuatao; Pindi unapomaliza kushiriki tendo usirudi kuendelea kulala amka chap uwahi msalani kukojoa na kuosha uume wako Vizuri.Hii Ni kwa faida yako binafsi. Hakuna mtu anayekuja kukushauri hivyo Tena. Thank me later.
  14. JamiiForums Tanzania Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

    Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke. 1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana. 2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi. 3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

    Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo. Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

    Haya maswali sijawah pata jibu, hebu nisaidiane wananzengo!
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume hudhurieni leba pindi wake zenu wanapojifungua

    Wizara ya Afya imekuwa ikiwataka wanaume kuhudhuria leba pindi wake zao wakijifungua ili kusaidiana na mama mzazi katika majukumu tofauti ikiwemo kuhakikisha mtoto ni wa mzazi sahihi. Kufuata vifaa ama bidhaa dukani kwa ajili ya mama mzazi, kumshika bega mama mzazi pale anaposhindwa kutembea...
  20. JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu, Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…