wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  4. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Ndio Maana Wanaume Tunakufa Mapema

    Tangu tukiwa wadogo tumekuwa tukiambiwa wewe ni mtoto wa kiume Acha Kulialia jikaze, tangu lini umeona mtoto wa kiume analalamika hovyo! Haya na mengine mengi yamemjenga mtoto wa kiume kumeza machungu yake yeye mwenyewe pasina kuomba msaada Kwa watu wengine,kumemfanya kupambana na mitihani...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe na wanaume wafupi wanataniwa, nilidhani Ni wanawake tu!

    Na wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu😅 Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina 😅
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume mtujibu

    Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje? Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatuzuga tu ila wanaume ni watu muhimu sana

    Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo. Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai alizozikandia Rais wetu, wanawake wawili waliyokua wamekaa meza mbili mbele yangu kwa muda kama wa nusu...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Urusi wanavaa mavazi ya wanawake na kukimbia nchi

    Wengi wanaona bora aibu kuliko kwenda kufa. ======== When Moscow announced its military mobilization drive on September 21, Liliya Vezhevatova almost stopped sleeping. She was asked by several friends and acquaintances to help men to leave Russia. Vezhevatova herself lives in the Armenian...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

    Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara. Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njooni tusemezane na tukumbushane

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki, ni matumaini yangu kuwa sote hatujambo na wenzetu wanaopitia mitihani mbali mbali ya kiafya au kiuchumi Mungu awasimamie maana yeye ndio muweza wa yote. Sote tunafahamu kwamba sisi wanaume ndiyo vichwa na viongozi wa familia zetu. Ukichwa na uongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

    Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia? Bora angekuwa mpenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Marafiki wa kiume hatuambiani tunapendana kama wanawake lakini maisha yetu tunayoishi ndio kielezo tosha

    Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali. Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini kwenye mioyo yetu kwa ndani huwa tunamaanisha. kwenye kuomba tu msaada Kuna kaujeri kidogo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

    Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu. Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

    Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi. Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe. Nilikuwa siwezi kutunza pesa...
  18. JamiiForums Tanzania Waraibu wengi ni wanaume

    Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa waraibu wanaohudumiwa ni zaidi ya 2000 ambapo wanawake ni hawazidi 150 na wanaume ni zaidi ya 2000...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  20. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

    Habari za saivi ndugu zangu. Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne. Kipindi tunaanza tulikuwa tukipendana, tulikuwa mkoa mmoja naye mkoa mwingine ila kila akitaka fanya jambo lazima anishirikishe. Akawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…