wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania hivi wanaume wakizazi hiki tumepatwa shemu toka amefika kwetu ukweni saizi anamaliza miezi sita

    Alikuja kwa kigezo kumwona mke wake na mtoto maana huyu dada yangu baada ya kujifungua ikampasa aje hom ajitazamie kutokana na ukaribu na urahisi wa huduma za hospitar Uzuri mzee amejijenga kwahiyo dada pia alikuwa n vyumba vyake ndani ya hiyo nyumba ya mzee Cha kushangaza haka kajamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hadi leo sijajua ni namna gani wadada wanapendelea vidume warefu alafu weusi wanaume wanapenda mabinti wenye makalio au kiuno kipana

    Najiuliza sana ni namna gani makebo makubwa na urefu vilivyokuwa na ushawishi sana kuliko CV yangu.
  3. JamiiForums Tanzania Kama wanaume na wanawake watachukiana, nani atafaidika?

    siku hizi kila ukiingia mtandaoni unakutana na maudhui yanayowagawa wanaume na wanawake. Huku wanaambiwa wasioe, kule wanaambiwa wasiolewe. Huku wanaume wanatajwa kuwa shida, kule wanawake wanatajwa kuwa shida. Kila siku ni vita. Ukienda kwenye comments ni matusi na lawama tu. Wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

    Hakika slim girls wapo moyoni mwangu Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau. Big up kwa wadada wembaba JF.
  5. JamiiForums Tanzania Watu wanene especially wanaume hua na maamuzi ya ajabu ajabu wanaendeshwa na hisia sana

    Watu wafupi hua wabishi kutokana na kuhisi wanadharauliwa, pia hua vinakua na mbembwe na vituko. (Japo sio wote) Watu wembamba hua wanakua na anger issues, wana hasira yma karibu. (Japo sio wote) Ulishakamatwa na traffic kimbau mbau. Au ulishakua na kesi na kamwalimu ka hesabu kembamba ? Watu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  7. JamiiForums Tanzania Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa alitengeneza app ya kutafuta wenza mtandaoni ila aka- ban wanaume wote isipokuwa yeye tu

    Mwaka 2019, jamaa mmoja aliyejulikana kama Aaron Smith kutoka North Carolina alizindua Singularity, app ya kutafuta wachumba mtandaoni ila iliyobuniwa kwa kanuni moja tu, kwamba hakuna mwanaume mwingine alitakayeruhusiwa kujiunga isipokuwa yeye pekee yake. Wanawake waliojiunga na programu hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Bi. Haika Yuko sahihi. Kuna wanaume ni Gold-diggers. Tabia mojawapo ya u-gold digger ni kijana kupenda mishangazi(wanawake wakubwa kiumri)

    Hamjambo! Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana mwenye kazi ya kueleweka, mwenye biashara nzuri, akili ya kiume umkute anakimbizana na mishangazi. Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

    Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo. Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako...
  11. JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

    Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa. Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake wa Mlandizi wanachangia wanaume na mabinti zao

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao. Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume zikilizeni

    Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi Husipeleke maua tia hela
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

  15. JamiiForums Tanzania Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    Kwasa ieleweke mapambano dhidi ya ukimwi hatawezi kumalizwa na upande mmoja peke yake, nijambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote katika utafiti wangu nimebaini wanawake wanahofia labda mimba kuliko ukimwi, hii inaweza kuchangiwa na ujinga ama kutokuwa na uelewa ama wameamua kupuuzia zipo...
  16. JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  17. JamiiForums Tanzania Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume hawapendi kuulizwa maswali haya sita kutoka kwa wenza wao?

    1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome) Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust). Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi. 2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
  19. JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…