wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:- 1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane" 2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume hawajipendi na wala hawapendani

    siku zote mtu analala kwenye shuka chafu, siku akija mwanamke ndo anafua (wendawazimu). Anakula chakula cha ajabu, siku akikutaa na mwanamke ndo anatumia hala kula chakula kizuri (ujinga) anajua kabisa kua mwanamke fulani ni mke wa mtu halafu anatembea nae (roho mbaya) anaweza akaombwa hela na...
  3. JamiiForums Tanzania Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

    Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama. Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao. Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao. Hivyo ili...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

    Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii. Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru. Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao...
  6. JamiiForums Tanzania Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  7. JamiiForums Tanzania Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

    Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado. Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe. Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

    Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
  9. JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

    Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano. Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hatugombanii wanawake kama wanawake wanavyotugombania wanaume? 🤔

    Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume. Either ni Mwanaume 1. Mwenye pesa 2. Handsome 3. Ana ushawishi 4. Maarufu n.k Ila sisi wanaume pamoja na kuhonga kwetu mamilioni ya pesa Kwa ajili ya wanawake...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume na suala la kuhonga

    Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

    Kwema Wakuu! Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa. Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au...
  13. JamiiForums Tanzania Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

    Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume! Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku. Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  15. JamiiForums Tanzania Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

    Kwema? Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini? Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu. Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema? Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa? Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣 Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha Zaman ilikua...
  18. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Wanaume na Wanawake nani mabingwa wa kuharibia wenzao maisha?

    Kwema wakuu! Kama swali linavyoeleza. Kwa upande wangu naona sisi wanaume ndio mabingwa wa kuharibia wanawake maisha. Kwenye wanawake kumi basi tisa wameharibiwa maisha na wanaume. 1. Kutia mimba na kutelekeza. 2. Kuwafanya tegemezi na kuzima ndoto zao. Hii inawafanya wanawake kuwa watumwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

    Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…