Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Karne zinavyozidi kwenda wanaume wamekuwa ni viumbe wanyonge sana. Unaweza kudhani ni Ngojera au hadithi maridhawa, kumbe ndio uhalisia wenyewe.
Hawa wanawake wengi wanaongoza kwa kupiga vipapai waume zao, kwa Kinaijeria tunasema "Juju", jambo linalopelekea wanaume wengi kuwa wanyonge ndani ya nyumba.
Unakuta kipindi cha uchumba na uhusiano wa kawaida, mwanaume ndio anakuwa Mwinyi, lakini gafla akiingia kwenye Ndoa kiautomatiki anakuwa mdogo kama piliton kwenye hayo mahusiano. Na kadri miaka na muda unavyozidi kwenda mwanamke ndio anakuwa mwenye sauti na maamuzi kuliko mwanamke.
Kumbe kipapai kilishapigwa kitambo, ameshafanya yake huko kashanuia maneno kama "Mimi ndio niwe mwenye sauti ndani ya nyumba, kila nitakalo mwambia anisikilize, anipende mimi kuliko wanawake wote, anisikilize mimi tu".
Kinachofatia ni mwanaume kupoteza hile nguvu ya kuwa dume ndani ya nyumba, unaanza kuendeshwa. Omba sana upate mke mcha Mungu, na wewe uwe mcha Mungu... Maana husipowindwa na mke wako, mchepuo atakuwinda na juju utapigwa. Msikilize Sheikh hapo chini