wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanachowaza Wanawake na Tunachowaza Wanaume

  2. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

    KISASI NI HAKI🔰 Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe. Matokeo yalikua 3-3 uwanja...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  4. JamiiForums Tanzania Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

    Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI. Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...
  6. JamiiForums Tanzania Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

    Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili Niwaambie tu ukweli hapa baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

    Habari zenu wakubwa, Mada nyingi humu mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke kaolewa na tajiri baada ya mda anaanzisha vurumai wagawane mali asepe aende kwa mwanaume wake kapuku,stori za wake za watu kuzaa na...
  10. JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume watakiwa kutembelea Watoto Vituo vya Yatima

    Shirika la Nyumba (NHC) limepeleka moyo wa mawingu katika kituo cha watoto yatima kilichopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ambapo limetoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni mbili. Afisa Habari wa Shirika hilo, Domina Rwemanyila amesema jukumu la kutoa zawadi kwa watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonesha wanaume tunaongoza kuwafanyia ukatili, kuwaumiza na kuwasaliti wanawake

    Kwema Wakuu! Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa linapokuja swala la kupasuana, kuumizana, kutesana, kukatiliana na kusalitiana kati ya mwanaume na mwanamke basi sisi wanaume ndio tunaongoza. Sio habari mwanaume kumcheat Mwanamke. Hiyo sio habari. Wanaume tuna ubinafsi katika suala la kihisia...
  12. JamiiForums Tanzania Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

    BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
  13. JamiiForums Tanzania Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Kina dada naombeni jibu. Lady , To yeye, Madame B, Miss Angel ,FaizaFoxy, Money Penny
  14. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada kwakweli mnajua jinsi ya kutupa mfadhaiko sisi wanaume

    Za asubuhi Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume /wanaume

    Kwa wanaume na wanawake, Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi?? Maana humu comments nyingi . Mnawasema vibaya kwani wanashida gani?? Tuambieni tujue
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ambao hatuna ndoto za kuoa sio husband material kabisa japo wengi wetu tuna maokoto ya kula bata

    Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha. Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa. Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine. Sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa? Ndoa ni fashion?
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tuko wapi?

    Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia. Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa. Wanaume najua mnanielewa, mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume. Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu.
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni wakina dada wenyewe wanaume wabahili

    Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa. Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake. Usisahau kuja kunishukuru baadae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…