Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea.

Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya mwanamke nayobidi ayafanye yeye bila wewe kuingilia wala kumsaidia, usije kukubali kufanya majukumu ya mwanamke kwa kudanganywa kuwa ni kujali, exception iwe pale tu anapoumwa and the likes.

Nashangaa sana nakuta siku hizi mwanaume anaji proud kabisa kuwa jumanne na jumapili ni siku yake ya kuandaa chakula, Like what the hell is this shit !!

Mwanaume hakikisha mwanamke unaemuoa anaweza kukufulia nguo zako, anaweza kukupikia, n.k. ni majukumu halali kabisa ya mwanamke ndani ya mahusiano, kujitia unamjali kumsaidia majukumu ya mwanamke ni uboya, hata uwe na pesa vipi usije kunasa huu mtego, ni sawa na kuwa na pesa hutaki watoto wafanye kazi za nyumbani, mwishowe wanakuwa watu wazima hawajui hata kujitandikia vitanda.
 
Siku moja nilienda kwa faza mdogo kumjulia hali huko Kiembe Samaki. Asubuhi nashangaa anakusabya baibui na magauni ya mke wake anafua. Kupika anapika yeye, Na mengineyo.

Nilimshangaa sana ywyw anakuambia ndio inavyotakiwa kwa mwanaume wa kiislam kufanya hivyo. Sikumkawiza nikamuwashia moto.

Haiwezekani mwanaume wa mkoani na mke wake wa mkoani ila tu wanaishi huko ndio ujifanye nawe sasa ushakua mwarabu.

Hizo kasi unazifanya pale tu unapoona unajisikia kumsaidia na sio kuzifanya zako. Unajishushia hadhi hata kwa mkeo maana unamfanya yeye ndio awe Dorminant afu wewe me unakua Submissive kitu ambacho mwanamke pia hakitaki kukiona kwa mume wake. Coz wanawake wanapenda kutawaliwa na kupelekeshwa In nature
 
_20231102_011316.JPG
 
Hizo kasi unazifanya pale tu unapoona unajisikia kumsaidia na sio kuzifanya zako. Unajishushia hadhi hata kwa mkeo mmaana unamfanya yeye ndio awe Dorminant afu wewe me unakua Submissive kitu ambacho mwanamke pia hakitaki kukiona kwa mume wake. Coz wanawake wanapenda kutawaliwa na kupelekeshwa In nature
Familia hizi ukienda kutoa posa kwa binti yao, mama ndie mwenye sauti,

Mama ndie anakutajia mahari huku baba yupo kimya,
 
Binafsi kupika ni starehe yangu napenda kupika lakini hasa kupikia watu zaidi ya watatu wanne kuendelea.

Napenda sana, sipiki eti namsaidia "japo namwambia namsaidia" ila ukweli n kwamba kupika ni kitu napenda.

Napika na Nitaendelea kupika tena nikija kuwa na familia biashara nishazi set huko Asee hamna mtu wa familia yangu atakua kimbau mbau kwa misosi nitakayowalisha.

Kupika ni Starehe sio Kazi
 
Yes na sokoni alikuwa anafika kabisa kufanya manunuzi huku mkewe akiwa nyumbani
Wanaume type ya babako hao ndo wanachochea ushoga vilevile. Mwanaume unaanzaje kushika kikapu ukahemee sokoni? Unachambua kambisa fungu la nyanya hili hapana naomba zile Really? Mkuu Kuna vitu vya kuiga lkn si kufua na kuhemea otherwise anaumwa Tena ghafla!
 
Huku mikoani hasa hasa Kanda maalumu (ya ziwa)
Kumkuta mwanaume anafua
Anapika
Sijui sokoni anahemea
Ni ngumu sana. Lkn Kwa Dar hasa wazaramo usishangae kabisa mwanaume kumkuta kainamisha p*mbu zake anafua Hadi chupi za mke wake na mke wake kapaka Hina Wala hata hawazi.kiufupi labda sehemu sehemu kupika Huwa napika Kwa kupenda ila kufua sikumbuki kama nimeshawah kufua nguo za wife hata yeye hawezi kukubali.
 
Wanaume type ya babako hao ndo wanachochea ushoga vilevile. Mwanaume unaanzaje kushika kikapu ukahemee sokoni? Unachambua kambisa fungu la nyanya hili hapana naomba zile Really? Mkuu Kuna vitu vya kuiga lkn si kufua na kuhemea otherwise anaumwa Tena ghafla!
Sasa mzee kijio ukitafute wewe halafu mkeo ndio aende sokoni kununua mahitaji labda iwe ile ya kununua Kila siku, lkn km unanunua mahitaji ya wiki mbili tatu inabidi wewe mwanaume ndio uende, sema unajua nini sisi masikini tunakuwa na vijisababu vingi sana vya kujikweza ili tuonekane wanaume shababi wakati hata haihitajiki, mwanaume huwezi kuwa mwanamke kwa sababu unakwenda sokoni, unafua au unapika, ni mtazamo tu, laiti ungelikuwa mpishi unafanya kazi katika hoteli ya nyota 5 maokoto Kama yote Wala hayo masuala ya kulalamika kuwapikia wanaume wenzio Kama wewe yasingeli kuwepo nakuapia na ungeliisifia kazi yako
 
Hayo majukumu ni ya wanawake tangu zamani, Mwanamke ndie wa kwenda sokoni, Yeye ndie anajua jikoni kwake kunahitajika kitu gani.

Mwanaume afanye majukumu yake, Mwanamke afanye yake, na wote kwa pamoja watimize majukumu yale ya wote.

Acha kumfulia mwanamke wako nguo zake, ni majukumu yake sawa na wewe kuwa mlinzi mkuu wa nyumba kukiwa na uvamizi,
 
Back
Top Bottom