Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,224
- 5,377
Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys.
Ila msafi, sio kunuka bangi pombe, ule usela wa kizamani.
Ila msafi, sio kunuka bangi pombe, ule usela wa kizamani.