Wanaume ni watu wema sana

Wanaume ni watu wema sana

Damarry

Member
Joined
Jul 13, 2026
Posts
25
Reaction score
61
Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.

Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu kinakuwa kamili kila siku, lakini wengi hujitahidi kadiri ya uwezo wao.

Unakuta mwanaume ameoa wake wawili na anamichepuko sita hivi na wote wanapata wanayoyahitaji.

Binafsi nawaombea wanaume wote Mungu awazidishie afya, nguvu na riziki ili waendelee kutimiza majukumu yao.

Ila niulize tu ..
Hizo pesa za kuhonga huwa mnazitoa wapi?
 
Screenshot_2026-07-18_110047.jpg
 
Hakuna mwanume alioa na ana michepuko sita!
Huyo sio mwanaume mstaarabu bali ni mwanaume maskini na mzinzi ..
Huyo anaukaribia umaskini na magonjwa yapo mlango kwake..
 
DUNIA BILA WANAUME, WANADAMU WANGEKUWA WANAISHI KWENYE MAISHA YA KARNE YA KWANZA.
ZERO INNOVATION, ZERO CREATIVITY NA ZERO DISCOVERY.

CC Dr. Mariposa
 
Hakuna mwanume alioa na ana michepuko sita!
Huyo sio mwanaume mstaarabu bali ni mwanaume maskini na mzinzi ..
Huyo anaukaribia umaskini na magonjwa yapo mlango kwake..
Ni Sawa nimetoa tu mfano hapo..japo wapo wenye pesa na wanawake wengi
Ila yote kwa yote men are the best 👌
 
Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.

Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu kinakuwa kamili kila siku, lakini wengi hujitahidi kadiri ya uwezo wao.

Unakuta mwanaume ameoa wake wawili na anamichepuko sita hivi na wote wanapata wanayoyahitaji.

Binafsi nawaombea wanaume wote Mungu awazidishie afya, nguvu na riziki ili waendelee kutimiza majukumu yao.

Ila niulize tu ..
Hizo pesa za kuhonga huwa mnazitoa wapi?
Uko sahihii
 
DA marry kwa vazi jinginee, uko winja winja.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom