wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
  2. JamiiForums Tanzania Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

    Habari za masiku? Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

    Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu. Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege? Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
  5. JamiiForums Tanzania Itungwe sheria wanaume waende kliniki

    BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao kwenda kliniki wakati wenzi wao hao wakiwa wajawazito. Rai hiyo imetolewa na wakazi hao wakati timu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

    Habari za wakati huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo. Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ole wenu wanaume mnaoenda Tanga kwa sasa. Kuna Mabadiliko makubwa kwa Wanawake wa huko

    Aisee... leo asubuh ndo jamaa yangu mmoja anaitwa Amani ndo kanipigia simu. jamaa alienda Tanga week tatu zimepita kikazi. mara ya mwisho tumewalisiliana nliongea naye kwa simu akanambia kuna kazi anataka afanye ilikuwa saa mbili usiku ndo akapotea hewani mpaka leo hii. nlishaanza hadi kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

    Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe marafiki tuu au kaka na dada. Basi kwa ustaarabu unaamua muwe kaka na dada ambao mnasaidia katika shida...
  11. JamiiForums Tanzania Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja, Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
  12. JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume

    Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...![emoji116] 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana...
  13. JamiiForums Tanzania Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Enzi hizo kabla ya kuwaelewa wasichana vizuri kuna-stage wanaume tunapitia na huwa mara nyingi tukikaa tunajazana mauongo uongo mengi kiasi kwamba mpaka ukitoka hapo kama kuwaogopa wasichana basi unawaogopa kweli na kama kuwapenda basi unawapenda kweli. Karibuni tujadili propaganda ambazo...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

    MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- UFAFANUZI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU Pre mature ejaculation ni nini? Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake. Tatizo hili...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

    KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA? Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume. Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

    Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume waheshimiwe milele

    Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani... Wanaume wana roho nzurii jamani.... Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
  18. JamiiForums Tanzania Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia. Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Salaam wakuu wangu! It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada! STRAIGHT TO THE TOPIC: Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa: 1) Asilimia kubwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…