Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papuchi wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
 
Wewe ndiyo ulikuwa unamsemesha au yeye?

Yaani namaanisha nani alimuanza mwenzake? Kama ni wewe muache aone aibu, ila kama ni yeye anakutongoza au kivyovyote halafu anaona aibu huo ni ufala hata siyo tabia za kike..
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
Karibu tena moniccca uliadimika.
 
it looks like yuo tryna hitting on a nigga and he ignored your black skinny ass...no hard feeling on his just chill bro
 
Nilicho gundua we mwenye Uzi huu ni m...,hjjksnvjkman..a mana hao wanaume wote walio kutongoza wakawa wanakula kucha ni wangap
 
Umechefukwa sana na huyo ME FAKE. Cheza mbali na madomo zege. Pole sana.

Back
Top Bottom