STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Enzi hizo kabla ya kuwaelewa wasichana vizuri kuna-stage wanaume tunapitia na huwa mara nyingi tukikaa tunajazana mauongo uongo mengi kiasi kwamba mpaka ukitoka hapo kama kuwaogopa wasichana basi unawaogopa kweli na kama kuwapenda basi unawapenda kweli.
Karibuni tujadili propaganda ambazo zilikuwa ziakupa hofu kuhusu wasichana ambazo kwasasa zimebaki historia tu kwako. Hii itawasaidia vijana ambao wanachipukia na wanakumbana na vikwazo kadhaa.
Tukianza na mimi nilikuwa nadhani kumtongoza msichana ni mpaka uwe umependeza, kumbe unaweza ukatongoza hata ukiwa simple tu na nimegundua kwamba wasichana wanapenda mwanaume anayejiamini katika hali yoyote ile aliyokuwa nayo na hii njia imenipa mafanikio mengi sana.