wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Malumbano ya viongozi HAMAS: Walioko ndani wanataka vita visitishwe, walio nje wanataka muda uvutwe

    Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe kwanza wapate dili nzuri... ===================== Hamas's top leaders are arguing about the...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

    Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania. Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao...
  4. JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Malasusa: Vijana wa siku hizi hawataki Kuongozwa wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

    Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

    " Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama. Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli. Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
  9. JamiiForums Tanzania USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani. Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa. Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
  10. JamiiForums Tanzania RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  11. JamiiForums Tanzania Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

    Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland.............. Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
  12. JamiiForums Tanzania MWABUKUSI atoa neno juu ya Wajumbe Chipukizi CCM "Wametutawala wao wanataka na watoto wao watutawale"

    Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania. Katika vinyanganyiro...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wafanyabiashara wenye vituo vya mafuta wanataka kuficha mafuta?

    Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
  14. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

    1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
  15. JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa presha za mashabiki viongozi hawajui wanataka nini na wafanye nini

    Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu. Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta...
  16. JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanabweteka kwenye mahusiano akishakuzoea

    Habari wanajf Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikataa wizi wa mali za umma ila alikubali uchafuzi wa uchaguzi: sasa hivi watawala wanataka fedha na uchafuzi wa uchaguzi

    Kwa mtizamo wangu Mwalimu Nyerere alifanikiwa sana katika kukataa kwa vitendo dhana ya kujilimbikizia mali. Aliridhika na kile kidogo alichopata na kuamua kwa dhati kutokubali kumvumilia mwizi wa mali za umma. Kuhusu uchaguzi, mwalimu Nyerere katika miaka yake yote hakuwahi kukubali kuwekewa...
  20. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…