Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia.....

Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has held a series of clandestine meetings with militant leaders across the region in recent weeks, The Wall Street Journal quoted “people familiar with the discussions” as saying.

“The Quds Force chief was in Lebanon last week, where he met with the leaders of Hamas, Hezbollah and Palestinian Islamic Jihad at the Iranian embassy in Beirut,” the sources said. Around the same time, militants in southern Lebanon fired a barrage of rockets at Israel, the largest such attack since the 2006 war between Hezbollah and Israel.

“The details of the rocket attack were finalized in Gen. Qaani’s meetings in Beirut, including with Hamas leader Ismail Haniyeh and his deputy Saleh al-Arouri and Hezbollah chief Hassan Nasrallah,” the sources added.

Rockets were also fired at Israel from Gaza and Syria, and Israel responded by launching airstrikes against what it said were militant targets in those areas.
 
Israeli wanamchelewesha sana Nusrallah. Iran naye kabakia kujificha nyuma ya vikundi vya kihalifu, amfuate Israeli moja kwa moja.
 
Nchi ambayo kutwa inatekeleza matukio ya kigaidi leo inajifanya inapinga ugaidi!
 
Hawa Iran walivyofanikiwa kuwavisha hijab wanawake wengi duniani wanafikilia watafanikiwa kuiteketeza Israel. kama alishindwa hitler na masilaha yake yote makali basi hakuna tena binadamu atakayewaweza wajukuu wa Rebeca.
 
Wewe ndio wale waliodanganyika na propaganda
 
Hawa Iran walivyofanikiwa kuwavisha hijab wanawake wengi duniani wanafikilia watafanikiwa kuiteketeza Israel. kama alishindwa hitler na masilaha yake yote makali basi hakuna tena binadamu atakayewaweza wajukuu wa Rebeca.
Halafu suala la hijab sidhani kama ni kweli au baada ya yale maandamano wameacha maana natizama taarifa ya habari naona wanawake Iran nywele zinaonekana tuu kawaida pale Tehran
 
Back
Top Bottom