wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  4. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitamtetea bure aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa. Watanzania wanataka kuona waliombaka na kumlawiti wanakamatwa.

    Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni masuala MADOGO SANA KISHERIA. Pia soma Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania ‘Wahuni’ wanataka kumtoa Hersi kuwa Rais wa Yanga

    Nimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni; 1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili sababu ipo kwa katiba ambayo sio sahihi. 2. Mahakama iseme kuwa shughuli zote ikiwemo za mihamala...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kama wanataka kutengeneza Tanzania galacticals +?

    yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa. mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, ) defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders ) forward ( mzize, guede, dube, mpole...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Zambia na Zibambwe wanataka kuamshiana, Urusi yawachonganisha

    Zambia na Zibambwe wameona nao wasipitwe na amsha amsha zinazoendelea duniani kwa leo, wanataka kuliamsha, mchonganishi ni Putin, hii ni baada ya Urusi kuachia video inayomuonyesha rais wa Zimbabwe akipeleka umbea kwa Putin kuihusu Zambia, sijajua Urusi waliachia hiyo video kwa nia gani...
  12. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

    Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi. Huko...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Afrika kusini wanataka makubaliano kati ya ANC na DA

    Randi ya Afrika Kusini imeimarika kwa kiasi mapema leo Jumatatu, huku wachambuzi wakisema wanatarajia kwamba mazungumzo ya kisiasa wiki hii, kuunda serikali yatachochea zaidi thamani ya sarafu hiyo. Hii ni baada ya chama tawala cha African National Congress ANC kushindwa kupata idadi ya viti...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

    Mpira ni anasa kweli kweliii. Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki. Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
  15. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Responded NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board. Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mali wanataka umiliki wa asilimia 30 kwenye migodi,Tanzania tunakwama wapi?

    junta WA Mali anataka umiliki wa migosi ya dhahabu asilinia 30 huku akitageti kuumiliki Moja kwa .ojo mgodi mku WA WA barrick kama watadelay kukubali umilikiwa hisa asilimia 30.Tanzania ya mama Samia inakwama wapi?
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

    Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
Back
Top Bottom