Kwa mlioko Uganda sasa ukilipwa Mshahara wa Ush za Uganda 9,000,000 siyo kwamba wanataka tu Kukua mapema kwa Starehe za Kufuru utakazofanya huko?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,574
108,930
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya Kimasomo hivyo sijajua tena Maisha ya huko yakoje na leo nimeota Ndoto ( nasisitiza tena kuwa Nimeota Ndoto ) kuwa Mwenyezi Mungu anaweza kuweka Baraka zake Ndugu yangu Mmoja akawa huko kwa kupata Fursa Kubwa na Maalum ( katika Serikali ya Nchi hiyo ) ya Malipo hayo hivyo nataka kujua tu kwa Kiasi hicho atatamba na kufaidi sana ili nikayaazime Majini makali ya Yanga SC ( ambayo kwa Mwezi huu Mtukufu yamepumzika ) ili Nimroge kwa Kumtupia yamtese au ni Hela ya Kawaida mno tu hivyo hata nisipoteze muda Wangu kumtupia Majini ya Klabu ya Yanga?

Nasubiria tu Mirejesho yenu Wadau.
 
images.jpeg
 
Tsh za Uganda?
Kupitiwa kwa Mwanadamu ni kawaida na wala haihitaji Akili Kubwa kujua kuwa nimepitiwa kwa kuandika Tsh badala ya Ush ila kwakuwa Waswahili tuna Upumbavu, Ushamba na Utoto mwingi tunaacha Kujadili kilichopo tunatumia muda mwingi Kushangaa Mwanadamu Kukosea wakati hata Watu wakubwa au Media kubwa duniani nazo hupitiwa na hukosea hivyo hivyo.

Tafadhali Moderators naomba msaada wa Kunirekebishia hapo katika Headline nilipoandika Kimakosa Tsh badala ya Ush. Nitashukuru.

Cc: Active, YinYang, Moderator, Paw, Cookie, Wand, Bridger, JamiiForums etc
 
Namimi nimeshangaa kweli mkuu. Jamaa atakuwa form four failure wa kijijini

Makosa uyafanye wewe malalamiko uyatoe wewe! Vp tena Mkuu Genta??? Huu ushamba umeutoa wapi tena wewe??
 
Hii kali ya mwaka . TSHS. ZA UGANDA? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pelekeni watoto wenu shule
Another damn Fool.

Kupitiwa kwa Mwanadamu ni kawaida na wala haihitaji Akili Kubwa kujua kuwa nimepitiwa kwa kuandika Tsh badala ya Ush ila kwakuwa Waswahili tuna Upumbavu, Ushamba na Utoto mwingi tunaacha Kujadili kilichopo tunatumia muda mwingi Kushangaa Mwanadamu Kukosea wakati hata Watu wakubwa au Media kubwa duniani nazo hupitiwa na hukosea hivyo hivyo.
 
Ngoja watoto wa mjini waishi na "Tsh za Uganda" mtaji wao upo hapo wa kukupatia ban
Kupitiwa kwa Mwanadamu ni kawaida na wala haihitaji Akili Kubwa kujua kuwa nimepitiwa kwa kuandika Tsh badala ya Ush ila kwakuwa Waswahili tuna Upumbavu, Ushamba na Utoto mwingi tunaacha Kujadili kilichopo tunatumia muda mwingi Kushangaa Mwanadamu Kukosea wakati hata Watu wakubwa au Media kubwa duniani nazo hupitiwa na hukosea hivyo hivyo.

Lini nimekuambia naogopa BAN? Acha Unafiki tafadhali sawa? Nikiwa BAN nokosa Kula, Sikazi na. siingizi Hela? Kwahiyo mnanichokoza Makusudi GENTAMYCINE ili nikiwajibu mnishtaki nipewe BAN?

Basi msichoke kufanya huu Upumbavu wenu na hapa mnadhihirisha kuwa ID yangu hii ni Kiboko yenu na inawanyima Usingizi na mnaichukia kutokana na Umaarufu wake uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Kupitiwa kwa Mwanadamu ni kawaida na wala haihitaji Akili Kubwa kujua kuwa nimepitiwa kwa kuandika Tsh badala ya Ush ila kwakuwa Waswahili tuna Upumbavu, Ushamba na Utoto mwingi tunaacha Kujadili kilichopo tunatumia muda mwingi Kushangaa Mwanadamu Kukosea wakati hata Watu wakubwa au Media kubwa duniani nazo hupitiwa na hukosea hivyo hivyo.

Tafadhali Moderators naomba msaada wa Kunirekebishia hapo katika Headline nilipoandika Kimakosa Tsh badala ya Ush. Nitashukuru.

Cc: Active, YinYang, Moderator, Paw, Cookie, Wand, Bridger, JamiiForums etc
Wanadamu tumeumbwa kukosea hili ni kweli.
Lakini kabla ya kutuma ujumbe au post lazima utulie na upitie upya ujumbe wako au post yako ili ukituma ulete maana na kusudio unapotaka kuufikisha.
Pesa ya Uganda ni UGX, Na si USH.
 
Back
Top Bottom