wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Hawataki Kutusikiliza, Wanataka Tuwasikilize tu na Kufanyia Kazi Maagizo yao!

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Nimeona nilisemee hili maana limeenda! Hivi kiongozi unatoa wapi ujasiri wa kukataa kuwasikiliza waliokuweka madarakani? Hivi unavaaga viatu vya wale unaokataa kuwasikiliza? Hebu fikiria umedhurumiwa na kiongozi fulani, unakwenda kushitaki kwa mamlaka ya juu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

    Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli. Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

    Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku. Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia. Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  5. JamiiForums Tanzania Lukashenko: Wagner wananisumbua wanataka waingie Poland kusalimia

    " Wagner wana hamu ya kwenda Warsaw kutembea na wamekuwa wakinisumbua kwelikweli!" Lukashenko akizungumza na Putin.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mamlaka kuweni makini kuna mamluki wanataka kuleta fujo na kuisambaratisha amani yetu

    Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo, Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza Bado nachunguza ila...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Watanzania hawataki tena kuwa tu manamba na vibarua, wanataka pia kuwa sehemu ya wawekezaji kwenye Bandari

    Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanataka 150,000/= ili nipate hati ya nyumba

    NDEFU KIDOGO Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya mambo ambayo mimi kama raia nilifurahia ni jinsi ambavyo wananchi tuliweza kujua hatua kwa hatua juu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye jiandae kisaikolojia, Mtama wanataka Steve Membe kuwaongoza!

    Wana wema! Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini. Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
  15. D

    JamiiForums Tanzania NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

    Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana. If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Ikiwa wao wanataka handsome na wenye Pesa Kwa nini wewe iwe kosa ukiwa na vigezo?

    Kwema Wakuu! Vijana, ikiwa usipokuwa na Pesa wanakudharau, wanakunyali, hawakutaki, na Wakati mwingine wanakutukana. Au ukimuoa siku ukafilisika wanakukimbia. Kwa nini kwako iwe kosa ukijiwekea vigezo? Mfano, Kwa nini iwe kosa ukisema kamwe hautaoa single mothers? Wakati Muda huohuo wao ili...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna kinachoshindikana zaidi ya Nia na Uthubutu. Walionenepa na wanataka kupungua inawezekana ndani ya Siku 50 tu

    Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?” Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku! Unavyoamka kula...
  20. JamiiForums Tanzania PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…