Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa husika katika hali ya mshangao, majonzi na simanzi kubwa mno, kwamba hakuna tena hamasa kwa wanachama...
Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali.
1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu.
2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi).
3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
Suala la kuhama Mwanasiasa kuhamia chama chengine iwe kwa msimu hasa kipindi Bunge lishavunjwa ili kujenga heshima katika siasa.
Mwanasiasa anaetaka kuhamia chama chengine asubiri muda huo. Hali ilivyo hivi sasa Watanzania wanyonge wanampigania Mwanasiasa ashinde uchaguzi hali na mali hadi...
Waingereza walisema what does not kill you, leaves you stronger. Tukio baya ambalo halikusababisia kifo, hukufanya kuwa imara kuliko hapo mwanzo.
CHADEMA kimepitia misukosuko mingi lakini chama hiki kimebaki kuwa imara zaidi kuliko siku za nyuma. Kuna kipindi miaka kama 8 hivi iliyopita chama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai.
Makala amesema hayo jana Jumapili Agosti 4, 2024 katika ziara ya...
Kuna taarifa kuwa stesheni za SGR zitapewa majina ya marais wetu. Huu ni muendelezo wa karibu kila kitu cha maana kupewa jina la aliyekuwa Rais (hivi karibuni ni Rais aliyekuwa madarakani).
Tuna shule zinazoitwa Mkapa, Vitengo vya Hospitali vinavyoitwa Kikwete, stesheni za basi za Magufuli...
Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa
Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.
Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa...
Baada ya kuona matamanio ya baadhi ya watanzania juu ya kuwa na kizazi cha Gen Z kama cha Kenya, nimejikuta najiuliza ni kwa nini tuwatamani vijana wa kenya wakati na sisi tuna vijana wetu wasomi kama wao!?
Lakini pia huwa humu kunakuwa na mijadala ya jinsi vijana wa China walivyoiendeleza nchi...
Wanabodi,
Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?.
Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito...
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma...
Bahati haiji mara mbili.
Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Ukiwa...
Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta.
Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari.
Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika.
Kulikoni Watanganyika?
Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa
1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali .
2.CCM huchukua na kupokea watu...
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba wanajali kumbe chini ya kapeti wanapitisha vile vya ajabu vingine ambavyo vilikuwa na afadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.