wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya Magoma dhidi ya Yanga imedhihirisha umbumbumbu wa wanasheria wa Tanzania

    Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa. Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu. KWA mfano: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
  2. Wanasheria na wadau wa sheria naomba mnieleweshe kifungu hichi cha katiba

    katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe. (4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
  3. JNICC: Uapisho wa Mawakili Wapya 555 Tanzania Bara

    Leo, katika ukumbi wa JNICC uliopo Posta, Dar es Salaam, Tanzania, kuna tukio muhimu la kihistoria linalofanyika mara mbili kila mwaka. Tukio hili ni uapisho wa mawakili wapya 555 wa Tanzania bara, ambao ni hafla ya 70 ya aina yake. Uapisho huu utafanywa hivi karibuni na kuhudhuriwa na Jaji Mkuu...
  4. K

    Tunawaomba wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina, kifungu kwa kifungu ili tujue ukweli

    Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
  5. Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

    Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia; 1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara 2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC) 3. Tunafuatilia leseni, TIN, number 4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal 5. Maandalizi ya...
  6. Wanasheria naomba mpitie na hapa pia tunaomba msaada na mawazo yenu kisheria

    Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika na issue zote za Mambo ya HR. Sasa katik Kazi kuna mengi kampuni X inamshutumu jamaa ameisababishia...
  7. Swali kwa Wanasheria, ni kesi zipi unaweza kufunguwa direct mahakamani bila kupitia Polisi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
  8. Chama cha Wanasheria Tanganyika chaendesha Mafunzo juu ya haki ya uhuru wa kujieleza

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini...
  9. Wanasheria nchi hii wana akili sana!

    Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
  10. Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  11. R

    Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Wameligawa kuwa la open space, PB, shule , kanisa, msikiti, makazi etc etc. Sheria iansemaje na kama una case law kuhusu scenario hiyo naomba
  12. Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara. Kwanini hali ni...
  13. R

    Msaada: Sheria gani inatumika kutenga maeneo kulingana na matumizi mbalimbali?

    Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia. 2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia. What is the law...
  14. R

    Wanasheria nisaidieni

    Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge grievances at CMA is 30 days. What about a retiring person on retirement age?
  15. Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

    Wanakumbi. Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza. • John Dugard • Max Du Plessis • Adila Hassim • Tembeka Ngcukaitobi • Tshidiso Ramogale •...
  16. Kenya: Jaji Mkuu awataka Watumishi wa Mahakama kuendelea kutekeleza majukumu yao Kikatiba bila kuogopa wala kuzingatia yaliyosemwa na Rais Ruto

    Viongozi wa Kisiasa Kenya akiwemo Katibu Mkuu wa Jubilee, Jeremiah Ngayu Kioni awanadai Rais William Ruto ana njama ya kupunguza ukali wa kitengo cha Mahakama ili apitishe Sheria zinazokiuka Katiba bila pingamizi Jeremiah anadai kuwa Rais Ruto ana njama iliyojificha inayohisisha kuongeza kwa...
  17. M

    Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  18. Haki za wagonjwa zinawezaje kuhakikishwa hospitalini? Wanasheria wekezeni na upande wa afya ili kudhibiti matatizo yanayotokana na uzembe

    Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
  19. R

    Wanasheria nisaidieni

    Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje? 1. Je kuna limitation on mortgage land? 2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed...
  20. D

    Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…