wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga walisomea wapi?

    Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba kuipeleka CAS Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao kienyeji.zote huwa...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, Nasubiria kwa hamu nonsense ya Bashe kuzuia Transit Goods za Malawi na SA, Hivi hakunaga Wanasheria huko Mawizarani?!

    Wanabodi Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini, Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake ilikuwa firm na authoritative as if he is CinC!kwa tone kama ya ki Magufuli Magufuli! Bashe ujumbe wako...
  3. Amocnolo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naombeni msaada wenu

    wanafamilia moja wamekuja kwangu wanataka wagawane mali walizochuma ndipo nikaomba kujua historian yao hadi kufikia hapo, ipo ivi. Ilikuwa 2018 mahusiano yao yalianza na wakati huo mwanaume alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja aliajiriwa, ilipofika 2019 alifukuzwa kazi na kipindi chote...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

    Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria. Taifa lenye uchumi mkubwa na...
  6. Powder

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  7. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

    Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
  8. Boveta

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CUF afanya ziara TAWLA (Chama cha wanawake wanasheria)

    Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na kujitambulisha lakini alipata nafasi ya kujadiliana mambo mbali mbali.
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

    Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Kata ya Kibilizi -Kigoma. Mslac inatoa msaada wa kishera,waziri wa k/s na timu ya wanasheria

    Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
  11. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo?

    Habari wakuu Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka mtu anichukulie aende na power of attorney na karatasi ya clearance halafu atakuja nacho Marekani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA HUYU VIPI?

    Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
  13. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Wakuu Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai...
  15. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wetu wana viwango?

    Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Diddy wamepeleka ombi nyingine la dhamana la mteja wao

    Timu ya wanasheria wa Gwiji wa miondoko ya Hip-hop Ulimwenguni ‘Sean Combs’ a.k.a ‘Diddy’ imewasilisha rufaa ya tatu ya kuachiliwa kabla ya kusikilizwa kwa kesi zinazomkabili katika Mahakama ya Rufaa ya Marekani baada ya majaribio ya awali kukataliwa. Rufaa hiyo inapinga uamuzi uliotolewa na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kutoka kwa Wanasheria na Mawakili

    Ward tribunal kwa sheria ya sasa (mabadiriko ya 2021) wanafanya mediation. Swali langu ni hili: Mediation ikishindikana, nani anapewa certificate ya ku certify failed reconciliation. Je ni yule aliyeleta hoja kwenye ward au hata yule mwingine anaweza kupewa certificate?
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba yao, sheria zao, haki zao na wajibu wao. Kujitolea huku kuwa mwalimu wa somo la katiba, na sheria, haki na wajibu, nimehamasishwa na mtu huyu hebu msikilize mwenyewe...
Back
Top Bottom