Kinachotokea katika nchi ya Gondwana ni aibu, ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa kama danguro . Majaji wazima ukiwaona katika majoho yao utadhani ni watu makini. Kumbe hamna kitu, ni madalali wa kuuza haki. Tumezoea wale wanawake wasio na aibu ya kuuza miili yao, lakini mahakimu na majaji hawa...
Wakuu habari zenu.
Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio...
Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema, kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia.
Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa...
Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe
Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana
Shame on you all rubish lowyer...
INTRODUCTION:-
Salam sanaaa?
HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI.
Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!)
Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
Kuna vitu vikubwa ambavyo Wana siasa hasa wa Sisiemu, vitendo vinaongea zaidi ya maneno. Na wanasheria wanasema ushahidi wa kimaandishi unaheshimika zaidi wa kimaneno.
Hivyo haya maneno ya dira, Haki, tume Huru, tume ya marekebisho ya utendaji Haki na maneno Mengine, haya maana kama haya...
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo,
kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani
hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo kwenye mapingamizi kesi haijaanza halafu wanakuja kulaumu mahakama wakati wanashindwa kucheza na muda...
TAARIFA KWA UMMA
UAMUZI WA EALS KUHAMISHA MKUTANO WAKE KUTOKA ZANZIBAR UTUPE FURSA YA KUJITATHMINI
Tarehe 20 Juni, 2025, Jumuiya ya Wanasheria ya Afrika Mashariki (East Africa Law Society) ambayo inajumuisha vyama vya wanasheria vya nchi nane (8) - Tanganyika, Kenya, Uganda, Zanzibar, Rwanda...
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....
Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
afrika
afrika mashariki
ccm
chadema
ethiopia
mashariki
mkutano
mkuu
mpango
saba
sababu
sababu za
sababu za kiusalama
siri
slaa
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
wagombea
wanasheria
zanzibar
Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
Kuna kosa limekuwa likifanyika mara nying katika mabaraza ya ardhi ya wilaya. Nalo ni hili:
Wenyeviti, wengi huwa wanasahau kuweka maoni ya wazee baraza na kusoma maoni haya mbele ya wadaawa (OPINION OF THE ASSESORS not recorded or read out to the parties) na hivyo kesi ikienda mbele majaji...
TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS
Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
This ruling seeks to address the preliminary objections raised by the 1st, 2ndand 3rd defendants herein inviting this Court to strike out plaintiff’s suitrelying on two grounds going thus:1.
1. That, the suit is incompetent before the Court as it has been filed contrary to Rule 3 and part (a)...
Kama anawashangaa wanasheria vivyo hivyo na wao wanamshangaa kwa kushindwa kujenga hoja na kuleta hisia zake za nyumbani.
Na nimshauri tu kwamba kaa mbali na hao watu, jamaa wakitoka arusha wakikuwashia moto utatafuta mlango wa kutokea.
Unaweza kuwa Mbunge lkn usijue hata principles za makosa...
Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby.
Wamemzuia kutoa taarifa za yanga o bila uthibitisho wa viongozi na aombe radhi ndani ya 24 hrs.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.