wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  2. T

    Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  3. Analogia Malenga

    Makamu wa Rais awataka Wanasheria Kuchukua Hatua Kali Dhidi ya mawakili wasio waadilifu

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
  4. Pascal Mayalla

    Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  5. comte

    Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  6. vibertz

    Nashauri Yanga itafute mtu wa sheria kutoka nchi za nje

    Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
  7. Pascal Mayalla

    Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
  8. Pascal Mayalla

    Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  10. comte

    Madai, kesi, na hukumu ya kuruhusu wafungwa kupinga kura ni kielelezo kingine cha maono mafupi ya wanasheria na mawakili wa Tanzania

    Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa. Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
  11. Brain Kingdom

    Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  12. matunduizi

    Kwanini wawepo Wanasheria na Mawakili mahakamani na si kila mtu azijue tu sheria kama Amri za Mungu?

    Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo. Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo. Ni kama...
  13. R

    Naomba kujua time limitation ya kufile execution proceedings ni ipi?

    Naomba kujua time limitation ya kufile execution proceedings ni ipi? My search could not give me any clue! Assisit please
  14. Jaji Mfawidhi

    Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  15. desmond3076

    Naombeni ufafanuzi ndugu wanasheria

    Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
  16. Z

    Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  17. Linguistic

    Adv. Bashir Yakub: Tatizo siyo Law School

    TATIZO SIO LAW SCHOOL. Tatizo ni vyuo vya sheria. Tatizo linaanza na sifa za udahili wa wanafunzi wanaostahili kusomea sheria katika vyuo, na Pili mfumo wa ufundishaji vyuoni. Kuna vyuo hadi mwenye D flat, D English, D kiswahili na D history anapata na nafasi ya kusoma sheria. Sasa hivi...
  18. BARD AI

    Wanasheria wapingana kuhusu Sheria ya Uchawi

    Wanasheria nchini wamegawanyika kuhusu ulazima wa Tanzania kuendelea kuwa na sheria ya uchawi au la. Wakati wengine wakidai sheria hiyo haihitajiki katika zama hizi za sayansi na teknolojia, wengine wametaka iendelee kuwepo ili kudhibiti imani za kishirikina na kupunguza madhara yake. Katika...
  19. A

    Elimu ya wanasheria wa Tanzania vs wa nchi jirani

    Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji? Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda You are one of the top lawyers in the country. Was this your childhood dream? I never intended to be a lawyer. I...
  20. Kyambamasimbi

    Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
Back
Top Bottom