Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa...
Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana kauli tu anakuambia nitakulaani yaani umlaani mwenzio kwani wewe ni Mwenyezimungu? Yaani neno laana...
Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna.
Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.
Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa?
Angalia mfano wa...
Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣
Anyway,
Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea.
Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo.
Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu...
WATOTO WA KISASA
Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu
Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni
Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza.
Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho.
Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo.
Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee wao sana kwenye maisha yao.
Mungu ni saidie nipate mtoto japani
Mpo Salama!
Kwa kweli inaumiza Sana!
Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote.
Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana.
Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii.
Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni.
Wanunuaji wazuri wa makolokoro,
Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.