Hoja walizonazo Wanaopinga Agenda ya Kitaifa ya NO REFORMS NO ELECTIONS

Orhan bey

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
88
Reaction score
135
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema.
1. Reforms zimeishafanyika kupitia 4R za mama,,ukimuulza hizo reforms zilizofanyika ni zipii anakuambia jina la tume limebadilika saivi ni tume huru ya uchaguzi.

2. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi

3. Chadema inaenda kufa tuliwaambia tundu lissu sio kiongozi ni mwanaharakati.
4. Familia ya Tundu lissu ipo ubelgiji
5. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi uchaguzi ni haki ya kikatiba,,,,
6. Chadema itakosa ruzuku

## Tundu lissu amepiga kwenye mshono maandamano yatafanyika siku ya uchaguzi,,,,machawa wanaumiaa saana maake huwezii kulipwa pesa nyingii eti CCM anashidana sijuii na CHAUMMA au ACT WAZALENDO halafu eti mtu akapige kura. ##No reforms no elections
 
Ikithibitika nimekwenda kupiga kura hiyo ya ocktober, 2025 naomba kabla ya matoke kuanza kutolewa nipelekwe Milembe nikachunguzwe huenda nikawa sio mimi kumbe sijijui
 
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema.
1. Reforms zimeishafanyika kupitia 4R za mama,,ukimuulza hizo reforms zilizofanyika ni zipii anakuambia jina la tume limebadilika saivi ni tume huru ya uchaguzi.

2. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi

3. Chadema inaenda kufa tuliwaambia tundu lissu sio kiongozi ni mwanaharakati.
4. Familia ya Tundu lissu ipo ubelgiji
5. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi uchaguzi ni haki ya kikatiba,,,,
6. Chadema itakosa ruzuku

## Tundu lissu amepiga kwenye mshono maandamano yatafanyika siku ya uchaguzi,,,,machawa wanaumiaa saana maake huwezii kulipwa pesa nyingii eti CCM anashidana sijuii na CHAUMMA au ACT WAZALENDO halafu eti mtu akapige kura. ##No reforms no elections
CCM wakubali mabadiriko, ambayo itakuwa afadhali kwa kila mtu. Tukuze Uchumi na Demokrasia, huu ugomvi kila siku unasababisha investors kutokuja; na sasa naona kabisa kama huyu Mama ataendelea na baadaye kuwekewa vikwazo basi tutababakia na Wachina na Waarabu; wawekezaji wakweli wote hawawezi kuja tufanye nao kazi.

NCHI lazima itawalike kihali ili tupate maendelea, huu ung'ang'aniaji wa Madaraka wa CCM umezidi kiwango, na Nchi inazidi kuzalisha Machawa na ukiwa Chawa unakua na advantage. Sasa maisha kama hayo nchi itaendelea? Mama Samia tuletee mabadiriko, support reforms!!!!!!!!!!!!!!
 
Uzuri siku ya uchaguzi polisi wengi na mgambo watakuwa ktk kazi ya kulinda mabox ya kura, huku barabarani cdm wakikinukisha
 
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema.
1. Reforms zimeishafanyika kupitia 4R za mama,,ukimuulza hizo reforms zilizofanyika ni zipii anakuambia jina la tume limebadilika saivi ni tume huru ya uchaguzi.

2. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi

3. Chadema inaenda kufa tuliwaambia tundu lissu sio kiongozi ni mwanaharakati.
4. Familia ya Tundu lissu ipo ubelgiji
5. Tundu lissu anaharibu amani ya nchi uchaguzi ni haki ya kikatiba,,,,
6. Chadema itakosa ruzuku

## Tundu lissu amepiga kwenye mshono maandamano yatafanyika siku ya uchaguzi,,,,machawa wanaumiaa saana maake huwezii kulipwa pesa nyingii eti CCM anashidana sijuii na CHAUMMA au ACT WAZALENDO halafu eti mtu akapige kura. ##No reforms no elections
Wakati mwingine jizuie kuonesha aibu hii kwa kujiita CHADEMA. Umeandika mihemko tu
 
Back
Top Bottom