wanaopinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe aanze kuwafukuza uanachama wanaopinga jitihada zake

    Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe. Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe. Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
  2. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

    "Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia. Tunachojua...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Betting, Kampuni za Kamali, Endeleeni Kuja kwa Wingi Tanzania!

    Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!! Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali! Kwa hili...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaolia na tozo ni malimbukeni

    Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

    Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo. Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao...
Back
Top Bottom