wanaojua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania John magufuri na Benjamin netanyahu ndo watu pekee wanaojua lugha ya kuzungumza na wapumbafu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi...
  2. JamiiForums Tanzania WARANGI, washika dini wanaojua mahaba!

    Tofauti na wachaga. Hawa wanawake wa Kirangi dini wameishika, mavazi ya stara na mtu ukiomba unapewa yote, kiroho safi. Asante Kondoa.
  3. JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchango wa Sheikh Hassan bin Amir: Mohamed Said anaeleza kuwa Sheikh Hassan bin Amir, aliyekuwa Mufti wa Tanganyika miaka ya 1950 na 1960, alikuwa na mchango mkubwa kwa kuuza kadi za TANU ndani ya msikiti na kuhamasisha Waislamu kumuunga mkono Mwalimu Nyerere ili kuikomboa nchi kutoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa watu wanaojua sheria mnisaidie kwa hili kuna familia inazurumika

    Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja. Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Wazee wa "ithibati" mmetuondolea Wanaojua kuongea wakaeleweka?

    Kwa hiyo mmeamua kutuondolea wale wanaoongea wakaeleweka mmetuletea Watu wa "Nchi za Ilan na Ilaki" kweli hilo ndilo ninyi mnalofurahia? Kwamba Mwenye diploma hata kama hana uwezo wa kuongea au kuandika yanayoelekea basi kwenu ndio bora?. Wapi Dokta Isack,namuamini na kumuelewa Dokta Isack...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Ghetto vs Watanzania Wanaojua Kujielewa – Taifa Linaangamia

    Yani leo hii tunaamka asubuhi, tunakuta msomi wa vichochoroni—mtu ambaye labda hata hana basic comprehension ya civic responsibility—anawaita Watanzania “kenge” eti kwa sababu amepewa nafasi ya kusema kwenye jukwaa la heshima kama Bunge? What the actual f*ck? Watu tunaomwaga jasho, tumetoka...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaojua kimombo tusaidieni,Trump anaposema “These countries are calling us up. Kissing my ass" ana maana gani.

    Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara. Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, wale wanaojua Men salon issues

    Wakuu habari zenu. Naleta ombi kama nilivotumiwa mshauri huyu binti. Ni binti 28yrs now, Yuko manispaa ya urambo mjini Tabora uko. Nyumbani kwao anakoishi sasa wana fremu za biashara kama nne, na fremu moja iliokua na saloon ya kiume imebaki wazi, aliekua hapo ameoa na kahamia Mwanza, alikua...
  11. JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
  12. JamiiForums Tanzania Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Write something in English and let chat in English. Please like this thread as agreement with my hoja.
  13. JamiiForums Tanzania Wanaojua Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara yako watujuze🙏

    Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke...
  14. JamiiForums Tanzania Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Vitengo vya masoko vya mashirika ya umma na binafsi visimamiwe na wasomi kutoka jamii za wanaojua kuendesha biashara Ili kuongeza ufanisi

    Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

    Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea. Hii inatafsiri...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa wanaojua kichina

    Kuna TV imekomalia hapa: Ni TV ya muda kidogo na manual haipo Tena. Kwa anayeweza kujua maana yake, msaada tutani please.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wanaojua huwa inafanywaje?

    Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu. Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza. Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…