wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Wananchi Sengerema wapinga kubomolewa nyumba zao bila fidia

    Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo: 1. Watafanya upimaji hivi karibuni 2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023 Tanga mnatumika Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wananchi Bagamoyo Waunga Mkono Uendeshaji Bandari Dar es Salaam

    Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi. Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Na Sam Ruhuza Naomba ufafanuzi! Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Dubai ni state kwenye Nchi ya UAE (United Arabs of Emirates) na ndio tumeingia nayo mkataba ikiwa ni yenyewe tu na sio UAE. Tupate ufafanuzi kwanza kwenye huo uhalali wa kuingia...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maji ya Ziwa Victoria kuwafikia Wananchi wa Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and Infrastructure Limited imeshafika Kaliua kuanza utekelezaji wa mradi Mhe. Aloyce Kwezi amesema Kampuni ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uwajibikaji Utoaji wa Huduma kwa Jamii 2021/22

    Taasisi ya WAJIBU imetumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22 kukuletea taarifa rahisi ili kukuwezesha mdau wa uwajibikaji kuzielewa ripoti hizo na kudai uwajibikaji pale unapokosekana. Ripoti hii inategemea ukamilifu na usahihi wa ripoti na taarifa...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  11. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awataka wananchi jimbo la Peramiho kumshukuru Rais Samia

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO KUMSHUKURU RAIS DKT SAMIA. NA STEPHANO MANGO, SONGEA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joakim Mhagama ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Peramiho ya kukagua miradi...
  13. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuwasaka Simba Iringa limeishia wapi? Bado wananchi wana hofu kubwa!

    Hali ya usalama katika vijiji vilivyoripotiwa kuvamiwa na Simba Bado ni tete, hiyo ni kwa mujibu wa kazi wa vijiji husika kuishi kwa hofu na kuogopa hata kutembea mida ya jioni kwa wale wenye mashamba mbali imekuwa changamoto kubwa! Taarifa mahsusi itolewe kama usalama umerejea na hao Simba...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sauti za Wananchi: Kwanini Serikali Inahitaji Kusikiliza Maoni Yao

    SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO Imeandikwa na: MwlRCT 1: UTANGULIZI Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu ya CCM amuomba Askofu Mwamakula kumfikishia ujumbe wake kwa Wananchi kuhusu mkataba wa bandari Ili asifukuzwe uanachama

    Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu. Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wilaya ya Serengeti watoa ushuhuda hadharani ndugu zao kuuliwa na Askari Nyamapori Serengeti

    Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Catherine Ruge aliwapa kipaza sauti wananchi hao kuelezea jinsi ndugu zao...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwabukusi(Mtanganyika) aigimbee Ubunge kutukomboa wananchi

    Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:. 1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku...
Back
Top Bottom