This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma.
Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi.
TZ bwana !! Mtu...
Kuna watu "wataalamu".
Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.
Shikamoo Heche
Watanzania ni Wale na huwa hawana nia ya kusahau wanachiambiwa ila vitu vingi wanafanganywa.
Kuna ujenzi wa barabara nchini mikataba ilisainiwa ya ujenzi wa barabara wa kilometers 2,000 haijulikani kinachoendelea.
2. Barabara ya Kimaro kwenda Chalinze haijulikani kinachoendelea.
3. Tarime kwenda...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze.
Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO
Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali Wilayani Ilemela wamesimamisha msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko:
1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)
(Mimi naona wanakimbia hawa)
Wakazi wa Vijiji vya Matandalani na Mtisi vilivyopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamekerwa kwa kucheleweshwa kugawiwa mashamba mapema ambapo wamekuwa wakiahidiwa na Ofisi ya Ardhi kwa lengo la kutekeleza zoezi hilo lakini utekelezaji unasuasua ambapo maeneo hayo yalirejeshwa kwa Wananchi...
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi...
"Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini
"Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao.
Maandamano hayo ya tarehe 9/11/2023 awali yalipangwa kufanyika 30/09/2023 na kama yangefanyika kipindi hiko na hoja...
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeingia mikataba miwili yenye thamani ya Shilingi Bilioni 43.3 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya kimtandao kwenye Taasisi 661 za Serikali ili kurahisisha huduma kwa Wananchi ambao walikuwa wanakutana na changamoto kubwa wanapohitaji...
Salaam, shalom!!
Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi.
LUGHA YA WANANCHI.
Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita.
Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
Nyuki wa mama mpo?
Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu.
Mioyo...
Kumekuuwa na posts humu JF kutoka kwa wanaojiita wakazi wa DSM kuvamiwa na ndugu zao kutoka mikoani bila taarifa, wakidai wanawapigia simu tayari wakiwa stand ya Magufuli na mifuko yao ya kaja shangazi.
Wengine wanalamikia kujaziwa jiji lao nzuri na watu wa mikoani. Kwanza km siyo Magufuli...
UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange
Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.