wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Hai tunamhitaji DC Kiongozi, sio Mtawala

    Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana. Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  4. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ameshindwa kutupa Katiba Mpya lakini bado wanataka kumuongezea vyeo

    Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi? Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge. Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse. Nani kama...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  6. JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2021 ni ya matajiri tu. Wananchi wa kipato cha kawaida jipozeni kwenye kubet tu,haina maslahi kwenu

    Alieona sehemu mwananchi wa kawaida kuguswa na bajeti ya mwaka 2021 alete hapa na sisi tuone. Boda boda kupunguziwa adhabu toka 30k mpaka 10k, kumbuka wenye pikipiki wengi ni mabosi,vijana wanapeleka hesabu tu,hapo kijana kafaidika nini? Sehemu pekee yenye watu wa hali zote ni kubet. Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidieni waliodhalilishwa kwa kupigwa hadharani na viongozi wa umma

    Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya. Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata. Vitendo hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Wabunge kudhihirisha "umuhimu" wao kwa Wananchi wao

    Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa. Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM. Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Chalamiler

    "Kero za wananchi zitatuliwe, tukija huko tukakutana na mabango, kero za wananchi, bango 1 DC na DED unakwenda" - @SuluhuSamia, April 2021 "Nawakaribisha katika ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan, kama una bango lolote hata la matusi, tafadhali, njoo nalo" Albert Chalamila, June 2021
  10. JamiiForums Tanzania Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

    (i) Kutoza tozo ya shillingi 10 hadi shilingi 10,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa. Kiasi cha tozo kinatofautiana kulingana na thamani ya muamala wa fedha unaotumwa au kutolewa. Pendekezo hili litaongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 1,254,406.14; na (ii) Kutoza...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

    Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi Kama ni Gwanda...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Utawala bora

    Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu. Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi. Mfano kuimarisha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushiriki wa Wananchi kwenye kujenga utawala bora

    Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Jacqueline Msongozi: Mgao wa dawa hauendani na uhalisia, wananchi wanahangaika

    Mbunge wa Viti Maalum (Ruvuma) Jacqueline Ngonyani Msongozi amesema Dawa zinazoenda Kituo cha Afya cha Msindo sio sawa na uhalisia wa eneo na wananchi bado wanahangaika Amesema mgao wa Dawa ni mdogo na haukidhi mahitaji. Naibu Waziri TAMISEMI, Festo Dugange, amesema Kituo kimekuwa kikipata Dawa...
  15. JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kigoma walalamikiwa kuwabambikizia kesi za uraia wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma wamelalamikia vitendo vya baadhi ya maafisa wa idara ya uhamiaji mkoani Kigoma kufanya vitendo vya uonevu kwa kuwakamata na kuwabambikia makosa ya uraia wananchi ambao ni raia halali wa Tanzania huku wakiwaacha watu...
  16. JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi kubwa ya Serikali ni kurudisha Imani ya Wananchi kwa Serikali yao

    Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa. Mfano: 1. Wafanyakazi wanaambiwa warudi nchini lakini wanaporudi wanafikia TAKUKURU na mahabusu. 2...
  18. JamiiForums Tanzania Ninekuwa na maamuzi, Sabaya ningempeleka Hai niwaachie wananchi wamsulubishe wenyewe

    Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya ubaya uliokithirika. Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa. Bwana Sabaya amelawiti mabinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  20. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai. Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…