wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  3. JamiiForums Tanzania Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  4. JamiiForums Tanzania UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wabunge wamekubaliana na Serikali kuwanyonya wananchi

    "Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?" Askofu Bagonza
  7. JamiiForums Tanzania MSD MNAMCHONGANISHA MAMA NA WANANCHI

  8. JamiiForums Tanzania Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

    Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa? Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kodi na Hali ya Uchumi kwa Wananchi

    Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi. Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio maana TAIFA lenye Kodi nyingi ni mataifa ambayo kipato Cha mmoja mmoja katika Hilo taifa NI kikubwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  13. JamiiForums Tanzania TRA Kufungwa akaunti za Wafanyabishara VS Waziri Kutoza wananchi kodi ya uzalendo ni bora lipi?

    Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania. Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  15. JamiiForums Tanzania DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  18. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  19. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
  20. T

    JamiiForums Tanzania Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…