wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  2. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunawashukuru wananchi Jimbo la Konde kwa kukiamini chama na kukipatia ushindi wa kishindo

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  6. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Badala ya Bunge kuwa mtetezi wa wananchi, limekuwa mbunifu mkuu wa kunyonga Wananchi

    Alitoa hoja bwana Zungu kuwa wananchi wachangie serikali kupitia line za simu bila kujua kuwa tayari wanachangia kupitia kununua vocha na kutuma na kupokea pesa. Sasa zungu akatoa hoja nyingine ya wananchi kulipishwa mara mbili kwenye huduma moja, yaani pale unapotuma hau kutoa pesa kuna kodi...
  7. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Historia ya wananchi kuvamia mabunge yanayopitisha sheria za ovyo

    Ukitaka orodha ya Mabunge yanayo pitisha sheria za hovyo basi Bunge la Tanzania hupaswi kuliacha kabisa. Pale Dodoma Bunge limegeuka kuwa taasisi ya kupitisha kula kinacho pangwa na Serikali, haijawahi tokea wakakipinga hata ile ya kinafiki. Kila kinachoplaniwa na Serikali lazima wakipitishe...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, Wananchi wamezoea bure kila kitu?

    Inaelekea Tanzania tuna tatizo la wananchi kuzoea bure na misaada. Ukiangalia hata mijadala mingi watu wanaongea na kuandika kama vile kila kitu inatakiwa serikali kutoa. Hatuwezi kuwa na machinga kila mahali hawalipi kodi halafu tushangae kodi kuongezeka kwenye simu. Ni lazima tujue bila...
  10. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Bunge livunjwe, Wananchi tutasema wenyewe mtandaoni

    Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na ongezeko la bei za vifurushi ambapo ni kelele za wananchi katika mitandao zilizofanya zile bei zishuke...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtatiro arejesha milioni 85 kwa Wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo. Mtanzania
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
  13. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalalamika tozo, Mbunge badala ya kuwatetea anaipigia debe Serikali

    Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi wake. Wananchi wanalalamika Mbunge anageuka wakala wa Serikali kuwataka wananchi wake wavumilie...
  14. P

    JamiiForums Tanzania WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wabunge wamekubaliana na Serikali kuwanyonya wananchi

    "Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?" Askofu Bagonza
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MSD MNAMCHONGANISHA MAMA NA WANANCHI

Back
Top Bottom