wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Chungeni wake zenu au mademu zenu. Leo wanajeshi na walimu wamepata midhahara yao.

    Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
  3. JamiiForums Tanzania Trump kupeleka wanajeshi Washington DC kuwakamata raia wasiokuwa na makazi

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump aliweka maono yake ya kuifanya Washington DC kuwa "kubwa tena" mapema leo, akiahidi kukabiliana na uhalifu na ukosefu wa makazi katika mji mkuu wa taifa hilo Kama mwandishi wetu wa Amerika Kaskazini anavyoandika, kuonekana ni muhimu kama takwimu za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi 20 wanaoshukiwa kutaka kupindua serikali ya Rais Assimi Goita wakamatwa

    Mali imewakamata makumi ya wanajeshi wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua serikali ya kijeshi, ambayo ilichukua pia mamlaka kupitia mapinduzi. Vyanzo kadhaa vimesema kuwa karibu askari 50 wametiwa nguvuni Miongoni mwa waliokamatwa ni Jenerali Abass Dembele, Gavana wa zamani wa Jimbo la Mopti...
  5. JamiiForums Tanzania Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

    Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

    Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi. Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

    Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
  8. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanajeshi saba wa Uganda katika kikosi cha Umoja wa Mataifa wameuawa na Al-Shabaab nchini Somalia

    Hayo yameelezwa Jumapili Juni 22, 2025 na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye. Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa Kusaidia Kuleta Utulivu nchini Somalia (AUSSOM) na kilichopewa jukumu la kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Morocco wauawa kwa Makombora Huko Haifa

    K Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa. Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa. My take: Hawa waisrael...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Omar: Wanajeshi Wastaafu, tunapata Pensheni chini ya kima cha chini, mimi napata 140,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho. Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe Wanajeshi!!!

    Habarini, Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi. Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk. Naomba kuwasilisha
  12. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Hamas wavamia battalion ya Jeshi la Israel waua wanajeshi 3 huko Gaza, 2 wajeruhiwa vibaya

    Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces. The slain soldiers are named as: Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Hamas Al-Qassam vikiwalenga wanajeshi na magari ya Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025. Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
  14. JamiiForums Tanzania Pakistani yashambuliwa na kikundi cha wanamgambo kutokea Ndani ya Nchi, wanajeshi 14 wapigwa kombola wakiwa ndani ya gari

    Baloch Liberation Army (BLA) imekiri kuhusika na mashambulizi mawili mabaya dhidi ya vikosi vya jeshi la Pakistan huko Balochistan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi 14, wakiwemo maafisa wa ngazi za juu. Katika tamko kali, BLA imeapa kuongeza operesheni zake, ikilitaja jeshi la Pakistan kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwalipa Wanajeshi Mishahara mapema, ni mpango mkakati, Sitoshangaa JWTZ ikatoa tamko la Kufanya Usafi Barabara za kuzunguka Mahakama 24/4?

    Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!. CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila. Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

    Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado. Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa Wanapaswa kutambua wanajeshi...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  19. JamiiForums Tanzania Movie time wanajeshi waliomba pooh unapigana na mtu asiyeonekana

    MOVIE KALI SANAA WANAJESHI WA MAREKANI WALIOMBA POOH 😂😂🔥🔥 Wamarekani walimuomba dokta atengeneze dawa ambayo itawafanya wanajeshi kwenye uwanja wa mapambano wasiweze kuonekana lakini mwisho wa siku ilikua balaa mtaani 🔥🔥 Angalia hapa ingia kwenye hii link kwenda kuidownload Bure✍🏾🍿...
  20. JamiiForums Tanzania Kiama kwa Houthi, Yemen inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia hayo maeneo ya Houthi

    Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…