wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka kwa msemaji wa Serikali: waajiriwa na wanafunzi waendelee kuwepo nyumbani kesho tarehe 31 Oktoba

  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhende: Nitahakikisha wanafunzi hawakai chini Bukene

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukene kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM )John Luhende, ameendelea na kampeni za kunadi sera kwenye jimbo hilo, akisema endapo atachaguliwa atatatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu, ikiwemo uhaba wa madawati mashuleni kwa kutumia rasilimali misitu inayopatikana...
  3. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wana tabia zikibaki siku chache mwaka wa masomo uishe au Graduation ndiyo wanaanza kusikiliza shida za wanafunzi

    Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao) Mfano una shida yoyote ya ki Academic unaenda mpaka Dar makao makuuu, supervisor wako anakukwepa, ukipiga simu...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inawezekaneje walimu wanaweza kuwa na kumbukumbu ya wanafunzi wote waliowafundisha?

    Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia. Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  8. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta? Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali. Kuna shule moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana Kata ya ITIJI ni Shule ya Kata imekuwa na...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

  11. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi wa diploma

    Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka 18. Mwanafunzi aliyesoma shule ya kata ,ambaye MIAKA yote ameangaika kupata Mwalimu wa Physics kwa...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ilipofikia: Wanafunzi wanatakiwa kujifunza ujuzi wakati wa likizo sio Tution

    Tution au twisheni wakati wa likizo ni kuwapandikizia hofu za maisha watoto. Watoto wa shule ya Msingi na sekondari wanatakiwa kutumia muda huo kujifunza vitu vipya ambavyo vitawasaidia maishani na Sio kujihami KWA kusoma twisheni ya mambo ya DARASA linalofuata. Wanaweza kujifunza Coding for...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Sijaona Wakristo 'wanaotia udhu' kabla ya kusali. Kwanini? Mbona Yesu aliwatawadha miguu wanafunzi wake?

    Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu alipokuwa pamoja na wanafunzi wake, alijifunga taulo kiunoni, akamimina maji katika chombo, akaanza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa Elimu wawe wanapitia Shule zao kukagua Chakula wanafunzi Mashuleni

    Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka. Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani. Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo...
  16. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
  17. Livanga

    JamiiForums Tanzania Shule za Sekondari zenye magari kwa wanafunzi wa day kuwachukua asubuhi na kuwarudisha jioni

    Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha jioni ni Shule za msingi. Je kuna shule za Sekondari zenye utaratibu huo? Natamani kupata list kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Yohana Amani Konki 17,auliwa na wanafunzi wenzake,kwa ramli ya mganga,kuwa ksiba simu

    Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atumia wimbo wa Mbosso 'Pawa' kufundishia Wanafunzi darasani

    Katika kuleta ubunifu na ufanisi kwenye ufundishaji, Mwalimu Kalesi ameibua hisia mitandaoni baada ya kutumia wimbo maarufu wa msanii Mbosso, "Pawa", kufundishia wanafunzi wake darasani. Kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kikimuonesha mwalimu huyo akiimba na wanafunzi wake kwa pamoja...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
Back
Top Bottom