Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka.
Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
Anonymous
Thread
changamoto
jamii
katika
kipindi
kipindi hiki
mitihani
muhimu
sua
taarifa
wanafunziwanafunzi wengi
wengi
Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia.
Chanzo Kusaga TV
Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi na kuutetea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuendeleza amani, umoja na mshikamano wa Taifa...
Wanafunzi ambao tumesoma Bachelor of Technical Education in Mechanical Engineering, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tumeshindwa kusajiliwa na Engineers Registration Board(ERB) baada kuhitimu chuo na wakati tuna sifa zote.
Na kipindi tukiwa chuoni tuliambiwa tumekubaliwa...
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
Anonymous (b213)
Thread
hosteli
maji
masters
moja
ndoo
ubungo
udsm
wanafunzi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu.
Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango.
Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba tarehe 23, 2025. Wanawafukuza wanafunzi wote ambao hawajakamilisha malipo ya awamu ya pili.
Sasa...
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetangaza hatua mbalimbali za kuboresha usafiri wa wanafunzi katika maeneo ya mijini, kufuatia malalamiko ya wanafunzi kuhusu kunyanyaswa na baadhi ya wahudumu wa mabasi ya daladala.
Akizungumza na vyombo vya habari, Jijini Dodoma Tarehe 04 Februari, Waziri...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo.
Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
Anonymous
Thread
bachelor
bachelor degree
chuo
chuo cha mipango
degree
dodoma
kero
kuhusu
mipango
moja
mwaka
mwaka 2025
wanafunzi
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe.
Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani.
Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
Anonymous
Thread
chuo
fedha
malipo
masomo
mtihani
udom
walimu
wanafunzi
Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri.
Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
Anonymous
Thread
darasa
kuandika
kusoma
kusoma na kuandika
kwanza
mbeya
shule
vizuri
wanafunzi
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa.
Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
Anonymous
Thread
ela
hali
kubwa
ngumu
vyuo
vyuoni
wanafunziwanafunzi wa vyuo
Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye ujasiri"
JamiiCheck vipi kuna ukweli hapa?
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI
UTANGULIZI
Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo.
Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa.
Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.