wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  2. Mzigo Mkubwa wa Madaftari kwa Wanafunzi Je, Hii Haileti Madhara ya Kiafya Kwenye matatizo ya mgongo

    Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo...
  3. Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  4. Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  5. R

    Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

    Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...
  6. Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  7. Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  8. KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  9. Wanasiasa, hiyo Samia scholarship kwanini mnaitoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya Science?.

    Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu . Acheni siasa katika...
  10. Waziri asema Wanafunzi 𝟭,𝟬𝟱𝟭 kupata ufadhili wa Masomo 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗟𝗔𝗥𝗦𝗛𝗜𝗣

    Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa mwaka huu wa masomo. Akizungumza Julai 22, 2025, Jijini Dodoma na waandishi wa habari , Waziri wa...
  11. Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  12. R

    Watatu wafariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili kwa ajali, Morogoro

    Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka Sajio(22) iliyokuwa ikitoka Kihonda kuelekea Morogoro mjini, kugongana na lori lenye namba za usajili T...
  13. A

    KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  14. R

    GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  15. M

    Wanafunzi wa mahitaji maalum Simiyu wapata misaada ya shule

    Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Sima A iliyopo katika Hamlashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu wamepatiwa misaada mbalimbali kwa matumizi ya shule Misaada hiyo imetolewa na waendesha baiskeli kutoka Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Butiama mkoa wa Mara kwa lengo ni...
  16. Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.

    Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028. Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
  17. Wanafunzi wa bweni shule za serikali ulala masaa yasiyozidi 5 kila siku. Kiafya imekaaje?

    Nina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi. Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu...
  18. Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
  19. D

    Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

    Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa. Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta. Wanasema iran wana mitandao yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…