Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa.
Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
Anonymous
Thread
ela
hali
kubwa
ngumu
vyuo
vyuoni
wanafunziwanafunzi wa vyuo
Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye ujasiri"
JamiiCheck vipi kuna ukweli hapa?
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI
UTANGULIZI
Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo.
Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa.
Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani.
Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma.
1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals)
Kumekuwa na...
Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
Anonymous
Thread
chuoni
kujikimu
loan
mpaka
pesa
pesa ya kujikimu
sanaa
sua
wanafunzi
year
Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri.
Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo
Kujenga Utambulisho wa...
Januari 10, 2026, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Uyole, Spika Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson amegawa vifaa vya shule kwa wanafunzi wenye uhitaji Jimbo la Uyole.
Dkt. Tulia anatoa...
Muda mfupi baada ya Mwananchi aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya hosteli katika chuo hicho, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Uongozi wa UDOM.
Awali Mdau huyo alisema baadhi ya Wanafunzi hasa...
Samia amewekwa na wananchi?
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala.
Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.
Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa...
Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole.
Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
Habarini wana JF,
Mimi ni mwanafunzi kutoka chuo kikuu kimojawapo jijini Mbeya. Chuo hiki kimekuwa kikibadili sera zake Kila unapobadilika mwaka wa masomo,,, ni hatua nzuri lakini Kuna sera zingine zinabadilika zinawaathiri wanafunzi Moja kwa Moja na hawapewi fursa ya kujitetea au kupewa...
Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika kukatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi kutokana na ukosefu wa taulo za kike, hali inayowaathiri kimasomo na kisaikolojia.
Katika kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.