wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chuo Kikuu cha Egerton chafungwa kutokana na mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada. Sambamba na hilo, chuo hicho kimetishia kuwasimamisha wanafunzi kwa mwaka mmoja ikiwa hawatokamilisha ada...
  2. Z

    Waziri Ndalichako, bado wanafunzi tunaibiwa Vyuoni, SUA na UDSM wamo

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo vikuu ilikuwa ikiiba pesa za wanafunzi hewa, walioacha masomo na hata waliofariki. Bahati mbaya hakuna hatua ya maana iliyochukuliwa. Kuna mtindo mpya wa wizi. Vijana wetu wanapomaliza masomo na kufuatilia vyeti, huambiwa...
  3. Chuo cha Maseno kimefungwa kufuatia mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Maseno kimefungwa kutokana na kutokea kwa mgomo wa wanafunzi ambao unadaiwa kusababishwa na kukithiri kwa matukio na kesi za ubakaji ndani na nje ya Chuo. Aidha, kutokana na tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Julias Nyabundi amesema kuwa "kutokana na kutokea kwa mgomo huo...
  4. Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHASO - UDOM bwana Henry Mang’era yuko mahabusu kituo cha Polisi Chimwaga kwa wiki ya pili sasa kwa kosa la yeye kuwa Chadema na kwamba anawashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunge na CHADEMA chuoni hapo. Polisi wamemnyima dhamana kwa madai kuwa kosa hilo ni kuhatarisha...
  5. H

    Fedha ya mkopo kwa wanafunzi hucheleweshwa katika baadhi ya vyuo (Mfano IFM)

    Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe. Hizi fedha...
  6. Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

    Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
  7. Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa? At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
  8. Nani mwenye jukumu la kudhibiti ubora wa mitihani kabla haijawafikia watahiniwa?

    Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.
  9. Huu ni wakati wa kuwafundisha wanafunzi njia za uzazi wa mpango kikamilifu ili tuweze kupunguza mimba za utotoni

    Mambo yamebadilika! Hakuna anayeweza kubisha! Nasi hatunabudi kubadilika, miaka ya nyuma kumfundisha mtoto kuhusu uzazi wa mpango ilichukuliwa kama ni jambo baya, lakini kwa hali ilivyo sasa elimu hii ya uzazi wa mpango ni yawote kuanzia watoto under 18 na vijana Elimu hii iambatane na elimu...
  10. Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

    SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
  11. K

    Tanzania kinara katika udahili wa wanafunzi elimu ya awali barani Afrika

    IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu (SDGs). Mafanikio hayo yanatokana na serikali kutoa elimu bure bila malipo ambao umechangia kuongeza...
  12. G

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi...
  13. Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
  14. Matokeo kidato cha nne 2009

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato Nne mwaka 2009. kusoma matokeo yote Link ipo hapa chini. TEMBELEA: LINK HII UKAONE MATOKEO YOTE http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm Ufaulu wapungua. Soma Pia: Matokeo ya form four 2008 Mzimu wa somo la Hisabati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…