wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utatuzi wa ajali (shoti)za umeme majumbani na mashuleni zinazoua wanafunzi na raia duniani

    Kwanza niwapongeze na kutambua mchango wao waliogundua umeme wa TANESCO na wa sola miaka mingi iliyopita. Sasa ili kuepuka vifo ni lazima nyumba zetu au mabweni yetu yawe na umeme wa sola na wa TANESCO. Mchana utatumika umeme wa TANESCO tu, na usiku majumbani na mabwenini utatumika umeme wa...
  2. Vyuo vya Kilimo viwape priority wanafunzi kutoka Kijijini

    Hello JF, 75% of Tanzanians depends on Agriculture and most of these people live in rural area, it makes sense if the government wants to invest then Rural areas should be one area of focus. One way of achieving this is to educate Tural Youth. These people know well their 'environment' yet...
  3. Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
  4. Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

    Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu. Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
  5. Wanafunzi 20 wapata ujauzito likizo ya Corona

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 20 wa shule za msingi na sekondari wilayani Longido mkoani Arusha, wamepewa ujauzito na wengine kuolewa wakati wa kipindi cha likizo kutokana na ugonjwa wa corona, baada ya shule kufungwa Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema itawachukua hatua za kisheria baadhi ya...
  6. Wanafunzi vyuoni: Msikae kusuburi boom/pocket money, fanya hizi biashara

    STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL Nguvu ya hii biashara 1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani kuna huduma. hata usiku. 2. Stationery zinaweza kuwa mbali na sehemu ambayo unaishi na wanafunzi...
  7. J

    Waziri Mkuu Majaliwa ashangaa kukuta wanafunzi wanakaa chini Mkuranga, atoa wiki mbili madawati yapatikane!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini. Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae. Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
  8. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.- Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
  9. Wanazuoni na Wanafunzi wa vyuo vikuu, Bodi ya Mikopo (HESLEB) haiwatendei haki. Amueni hatima yenu 2020 hii, mnaweza kuitosa CCM

    Kama navyosema siku zote mimi ni kada hai wa CCM na naendelea kukipenda CCM. Lakini nitafurahi sana chama changu kiadabishwe awamu moja au kichachafwe ili kipate adabu kisirudie makosa yale yale na kiache kudharau wanyonge wahali ya chini. KWANINI NASEMA CHAMA CHANGU KIADABISHWE? 1. Serikali ya...
  10. Ukuta Shule ya Sekondari Ngasaro, Shirati Rorya waanguka. Wanafunzi wawili wafariki

    Wana JF, Nasikitika kuwafahamisha kuwa wanafunzi wawili wa shule ya sekondari Ngasaro Wilaya ya Rorya(kata ya mkoma) wafariki dunia mchana huu baada ya kuangukiwa na ukuta. Kwa taarifa nilizozipata ni kuwa ukuta huo ulikuwa unatenganisha vyoo na madarasa. Chanzo: Mmoja wa familia ya wafiwa...
  11. Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  12. Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  13. HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya nne ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa...
  14. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  15. RC Songwe atembeza kichapo kwa wanafunzi waliochoma shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela mapema leo amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya Zaidi ya shilingi milioni 26. Brig.Jen. Mwangela amefikia hatua hiyo mara baada ya kamati...
  16. Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

    Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
  17. Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

    Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
  18. Dar: Bweni shule ya Ilala Islamic laungua moto, wanafunzi 3 wafariki

    Wanafunzi watatu wamefariki dunia baada ya Moto uliozuka usiku wa kuamkia leo kuunguza bweni la shule ya sekondari ya Ilala Islamic iliyopo eneo la mtaa wa Arusha Ilala. Mpaka sasa chanzo Cha Moto huo hakijajulikana ambapo wanafunzi wote wa shule hiyo wamehamishiwa kwenye shule ya msingi ya...
  19. TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  20. Kusafirisha wanafunzi ni kazi ya nani?

    Wanafunzi wetu nchini ni kundi kubwa la wananchi wenye mahitaji maalumu. Hapa nchini daladala tu ndizo zilizopewa jukumu la kuwasafirisha kwa bei pungufu ya sh. 200. Hii Ni tofauti na biashara nyingine kama ya stationery, uniforms, bodaboda, chips, soda, nk ambao wao huwa wanawauzia wanafunzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…