wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Swali langu naliojiuliza sana ni kwanini inakuwa ngumu iaka nenda rudi kuzikuta shule za kiislamu na wanafunzi waisalmu kwenye kumi bora. Shule 10 bora form 4 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua...
  2. Uganda: Wanafunzi milioni 4.5 hawatarudi shule

    Ripoti ya Mamlaka ya Mipango ya Taifa Nchini humo imeonesha Wanafunzi Milioni 4.5 kati ya Milioni 15 hawataweza kurudi Shule kwa sababu mbalimbali Uganda imefungua Shule hivi karibuni baada ya kuzifunga kwa takriban miaka miwili ili kudhibiti maambukizi ya Corona. Kitendo cha Watoto kukaa...
  3. T

    Suala la sare za wanafunzi: Kwanini Serikali isitoe sare elekezi kwa wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza na Serikali ishone kwa kuchangia gharama?

    Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi. Kiukweli nimeona mtazamo wa wengi juu ya suala ,kuna wengine wanasema kwamba sio mbaya waendelee nazo tu...
  4. Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

    Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu. Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
  5. F

    Mbona wanafunzi wa vyuo hawapewi mikopo inayotosheleza?

    Serikali imesema wanafunzi wanalipwa mikopo lakini mbona hiyo mikopo inalipwa robo tu hadi nusu? Kama unamlipa mwanafunzi mkopo ambao ataurejesha, kwanini umpe mkopo ambao haumtoshelezi? Mbona tunajisifia kuwa tunakusanya kodi kubwa kila mwezi lakini wakati wa kulipa ni matanga? Hata...
  6. Waziri Ndalichako: Wanafunzi wote 907,802 waliofaulu, Watajiunga kidato cha kwanza

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
  7. K

    Tatizo la vyumba vya madarasa limekwisha. Je, kuna walimu wa kutosha kufundisha wanafunzi watakaojaza madarasa hayo?

    Igweeeeee Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa. Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu...
  8. Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

    Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21 Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy...
  9. Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

    Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo. Spika Ndugai amesema wananchi...
  10. Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

    Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
  11. Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  12. Wanaume wa Wilaya ya Sengerema walalamikiwa kwa tabia ya kuwapa wanafunzi ujauzito

    Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21. Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta...
  13. J

    Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  14. Unafiki wa CCM kukubaliana na hoja za wakati ule za Zitto Kabwe kuhusu watoto wenye mimba kurudi shule inafikirisha sana

    Wanabodi, Wabunge wa CCM walimtukana Zitto Kabwe wakati wa hayati JPM kuhusu hoja ya Zitto kuwa watoto Tanzania waliopata mimba hawapewi nafasi ya kusoma shule za kawaida Wabunge wa CCM Wengine walitishia kumuua zito Kabwe kwa kosa kuwa anawasaliti Wabunge wote wa CCM wakati wa JPM hawakutaka...
  15. Wanafunzi waliomaliza darasa la Saba 2021/wamepangiwa shule?

    Wakuu habari, Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
  16. IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

    Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi? Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu Hicho chuo kina matatizo...
  17. S

    Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

    Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
  18. Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  19. T

    Wanafunzi kidato cha 5 na 6 Morogoro Sekondari hawana maji, Wagoma kuingia darasani

    Deni kubwa maji toka Moruwasa limesababisha shule ya sekondari Morogoro kukosa maji. Kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima kilichochimbwa na taasisi moja ya kiiislam, yenye maji chumvi ambayo hutumika hata Kwa kunywa. RAS Morogoro amuru moja toka Moruwasa litatue tazizo...
  20. A

    Mh. Rais ingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia hongera kwa safari ya Glasgow ambapo uliiwakilisha nchi yetu na kutusemea, pole kwa majukumu ya kulipigania taifa letu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba baadhi ya wanachuo ambao wanakila sababu ya kupatiwa mkopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…