wamiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

    Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari.... •Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu? •Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako? •Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji? •Je unatamani kupata dereva...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha nyuma ya wamiliki wa gesti na loji kuvipa vyumba vyao majina ya wanyama au mikoa?

    Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Mjema akutana na Wamiliki na Wakurugenzi wa vyombo vya habari

    MWENEZI MJEMA AKUTANA NA WAMILIKI NA WAKURUGENZI WA VYOMBO VYA HABARI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Mjema kwa nyakati tofauti jana tarehe 08 Februari, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wamiliki na wakurugenzi wa vyombo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. 👇
  5. crome20

    JamiiForums Tanzania UWAMATA na wamiliki wa mabasi dhibitini wauza madawa na vitu kwenye mabasi ya mikoani

    Kwa wale wastaarabu tu ndio wanaoelewa. Ni kero kwa abiria wachuuzi kuingia ndani ya mabasï kuuza vitu vyao. Mwenye shida anunué hapo nje na sio kupishana na matenga, maboksi na kupigiwa kelele. Nilishangaa nikiwa kwenye basi la NEW FORCE kuelekea Lindi hadi mabeseni ya samaki yanapita. Kuna...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  7. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wamiliki wa European cars!

    Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

    UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wamiliki Shule Binafsi wapinga Serikali kuifungia Chalinze Modern Islamic

    Umoja wa Wamiliki na Maneneja wa shule binafsi Tanzania (Tamongosco), wameingilia kati suala la kufungiwa kwa Shule ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani wakitaka uamuzi huo utenguliwe. Tamongosco wamejitosa katika sakata hilo ikiwa ni siku chache tangu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Inawahusu walimu au wamiliki wa shule tu.

    Habar wadau wa elimu. Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani...
  12. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Kuna mabasi wamiliki wake hawatuangalii abiria

    Naanza na kampuni ya Superfeo ya mkoani Ruvuma ukiagiza pacel mfano bahasha tu unalipia sh. 5000 iwe ni barua, au kitu kinachoweza kukaa kwenye bahasha. Na bei hizi zipo hata kabla mafuta hayajapanda bei. Mkurugenzi wa Feo tuangaliye tunahali ngumu fikiria kupunguza gharama walau iwe 3000...
  13. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa gari namba D tupeane ushirikiano

    Bila shaka mko poa, Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya kuhamia namba "E" au kwa sababu tofauti. Nitawatafutia wateja wa gari husika kutokana na network ya...
  14. 0743919950

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  17. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Wamiliki magari wa Zamani vs wa Sasa

    Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari.. 1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela mpaka tukavuta.. 2. Magari yetu ya kwanza almost 85% yalikuwa ni pick ups.. Hakukuwa na mnunuzi wa...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Kero ya taka Mijini, kila Mtaa wamiliki "incenerator"

    Incenerator ni Mtambo utumikao kuteketeza taka. Mitambo ya aina hii ni maarufu sana kutumika kwenye Mahospitali na Viwandani, ila pia ipo Mitambo mikubwa na midogo kwa ajili ya kutumika majumbani. Ukizunguka kwenye Miji hii mikubwa kama Jiji la Dare Es Salaam, Arusha n.k lazima utakubaliana na...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TRA yavifutia riba vyombo vya moto ambavyo havijasajiliwa

    Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022. TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
Back
Top Bottom