Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa videos/reels ndo kila kitu.
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
Ndugu Wajumbe,
Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini!
Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji.
Kwa mfano, ninafikiria...
Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi?
SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo:
📌 Kanuni za...
SHALLOM.
Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi.
Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana...
Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani.
Habari kutoka mtandao mmoja wa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba.
Kupata matukio...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka?
Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii.
Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Waliokosa dhamana ni...
Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW
Unaamua...
Kwema wakuu
KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.
1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.
2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
Mikoa mingi ya pembezoni Ina ushindani wa kampuni za mabus mfano mkoa wa Kagera ambao ni mbali zaidi ya mkoa wa Ruvuma kutokea Dar ila kampuni kama Aboods, Frester, Happy Nation, Friends, city boy wote Wana route huko.
Mkoa wa Ruvuma makampuni ya mabus ni mawili Superfeo na Newforce but...
WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.