wamiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner) Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

    Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki. No mtu kati tena!
  3. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fanyeni service za bodi na ndani ya mabasi siyo injini tu

    Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awataka wamiliki wa redio kulipia muziki wanaopiga

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili kuwawezesha wasanii kupata haki zao. Bashungwa amesema hayo jana Ijumaa Septemba 3, 2021 wakati akizinduzi kituo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya ukoo hayana wamiliki

    Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
  6. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Wamiliki Wa Shule Binafsi Hii Nimuhimu Sana Kuipitia

    Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia. sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza...
  7. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wamiliki Magari tukutane hapa kwa kununua spare zamagari original

    Nunua spare za Magari, tembelea kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza na; Macha Dubai used car spare parts MWANANYAMALA KOMA KOMA KARIBU NA CRDB BANK Kwamawasiliano calls&whatsApp +255742662669
  8. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

    Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  10. chakii

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100 Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240 Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000 Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100 Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700 Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900 Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa...
  11. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

    Habari zenu wanajukwaa! Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo. Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna...
  12. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Maafisa ardhi Sumbawanga acheni kusababisha baina ya wamiliki halali na wavamizi

    Hakika katika wizara zilizoshindika ni pamoja na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi bora wizara ikahamia ofisi ya rais labda watendaji wake wataheshimu sheria. Maafisa ardhi Manispaa ya Sumbawanga wamekuwa wanachochochea migogoro ya ardhi baina ya wamiliki halali wenye hati milki za...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

    Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kukata kodi ya jengo kwenye LUKU, watakaokuwa walipaji wakuu ni wapangaji na si wamiliki tena

    Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki. Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni...
  16. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Kwenu madereva na wamiliki wa vyombo vya moto njooni tusemezane hapa

    Natumai wote my wazima. Poleni na majukumu ya kusaka ngohora. Moja kwa moja niende kwenye hoja. Kwa muda mrefu madereva tulip wengi pia wamiliki wa vyombo vya usafiri magari pikipiki Bajaj. Tumekuwa na lawama Sana kwa vyombo vya Dola haswa Traffik na polisi. Kwa unyanyasaji wao kwa sisi madereva...
  17. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Je, Wamiliki wa Maduka ya Jumla wananunua wapi bidhaa zao?

    Nahitaji kufungua duka la bidhaa na kuuza kwa bei ya jumla, Je, naweza kupata wapi wanakouza bidhaa wanakonunua wengine?
Back
Top Bottom