wameshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwezi wa tatu huu vijana wa IT wanaojimwambafai kwa misamiati ya IT wameshindwa kuni hack kwa dau la laki 3, Maneno tu

    Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao, Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri. Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI TANESCO wameshindwa kesi Marekani na wametakiwa kutoa bilioni 320 kwa IPTL

    Salaam, Ndugu zangu kuna habari nimeona inasambaa kwa kasi Twitter ikidai kwamba Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited. Taarifa hiyo inadai TANESCO yashindwa kesi Marekani na kutakiwa kuilipa IPTL billioni 320! Je kuna...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kujitetea suala la DP World sasa wamehamia kwenye udini

    Mimi ni Mkatoliki, nikianzisha mjadala unaopinga Mkataba wa DP World kuhusu Bandari yetu basi naitwa mdini, naambiwa mimi mkatoliki sipendi waislam! Huu ndio ujinga gani? Yaani mnashindwa kujubu maswali muhimu ya wananchi mnaanza kuita watu ni wadini? By the way mtu ambaye anatafasiri kila...
  4. JamiiForums Tanzania Privaldinho na Ally Kamwe wameshindwa kuitangaza Yanga Day

    Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana. Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani itakuwa lini. Kote wanajadili jersey za Simba tu. Huu ni ukanjanja wa waandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wapinzani uchwara sana, mpaka leo wameshindwa kuwateka wakulima

    CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
  6. JamiiForums Tanzania Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

    Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu" Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini" Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye...
  7. S

    JamiiForums Tanzania BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  9. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya startv kusimamisha watangazani wake, hivi hao waandishi wameshindwa kuja na digital platform yao kama Millard?

    Nadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
  12. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM. Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
  14. JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili. Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
  16. JamiiForums Tanzania Muda umefika wa Dola kusimamia miradi ya maendeleo, wanasiasa na ilani za vyama vyao wameshindwa

    WAKUU Nianze KWA kunukuu "Kule kwenye miradi ya maendeleo waliachiwa wanasiasa" Hii ni kauli ya mwandishi ninaye mhusudu Sana HAPA jukwaani,kwamba miradi mingi Sana HAPA nchini inasimamiwa na wanasiasa walioshinda chaguzi zao tangu tupate uhuru,lakini hadi leo bado kuna kizungumkuti Sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi ya Uganda na Tanzania wameshindwa kuchanga $1 bilion kujenga refinery plant kwa pamoja

    Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu. Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
  19. JamiiForums Tanzania Wanywa gongo walewa chakari wakiwa safarini kwenda kupigana pale wanajeshi wa Urusi wameshindwa

    Putin ameamua kukusanya wanywa vodka mitaani wakapigane pale ambapo wanajeshi rasmi wa Urusi wameshindwa mpaka kutoroka mapambano...... Chaotic scenes have been shared on social media following Vladimir Putin's mobilization decree amid reports that the authorities are looking to draft far more...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

    Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi ==== Breaking news Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana. Mkuu wa mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…