Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote.
RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi inayowafanya wazilee familia zao na kusomesha watoto.
Hawa watu hawakupenda kuwa wamachinga kwahiyo...
Serikali imeendelea kuwa kimya kuhusiana na suala la wamachinga na wafanya biashara ndogo ndogo. Kadiri muda unavyozidi kusonga ndivyo hali inazidi kuwa mbaya.
Baada ya sehemu wa watembea kwa miguu kuvamiwa na wafanyabiashara ndogondogo hasa Jijini Dar es salaam sasa ni zamu ya vituo vya...
Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
Ukweli utawala wa awamu ya 5 kuruhusu wamachinga na mama lishe.
Kufanya biashara popote watakapo na wasibughudhiwe ulikuwa na ushamba wa aina yake. Zamani maeneo ya Posta yalikuwa ni maeneo ya kuvutia sana sio kwa wageni bali hata kwa wenyeji.
Yalikuwa masafi yasiyo na misongamano ya hovyo...
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM.
Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
KARIAKOO
Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu.
Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote kutafuta ushauri wa wamachinga kwanza. Huku kwenye mitandao utapotoshwa.
Kuna watu Wana hasira na...
Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara
Chanzo: ITV habari
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu.
Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine tutakujulisha ukishafika.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Asalam-aleikoum Wana-JF!
Swali hili linahusu tangazo la serikali kuhusu tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku biashara barabarani ambazo ni kinyume na kanuni za town planning.
Tangazo la serikali linajaribu 'kufafanua' amri ya Mkurugenzi kwa wahusika ambao inaonekana...
Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake.
Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na...
Natoa tu angalizo kwamba hili taifa la Wamachinga limetengenezwa na ilani ya CCM huku Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakishindana kutoa kwa wingi Vitambulisho vya Mjasiriamali.
Ghafla tena Wakuu wa Wilaya wale wale wanaanza kuwakana wamachinga kwamba wanafanya biashara barabarani na maeneo...
Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
Ndugu Rais,
Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana.
Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa zaidi ya 70% ni Wamachinga.
Hili ni jeshi kubwa sana ambalo ukilizingua litakuzingua kweli...
Sijui kama ni tafsiri sahihi ili kuna wanaosema wamachinga maana yake ni wazururaji,watembea hovyo. Je, kuna ukweli kwenye hili?
Binafsi nafikiri kuna ukweli kwamba Wamchinga ni watu wavivu, ambao wanajificha mjini kufanya kazi ambazo hazina tija.Wamchinga wa zamani walikuwa wanabeba maduka yao...
Baada ya jiji kuajiri wanamgambo wa kupiga wamachinga na Mama Ntilie ifikapo tarehe 18/5, angalau jiji la Dar litaanza kuonekana sasa maana moshi wa mamantilie wanaopikia kuni pembeni ya barabara ndo ulikua unaonekana.
Yaani hata Nairobi au Kigali tu walikua wanaonekana wametuacha mbali kisa...
Baada ya Mwendazake kuondoka sasa ni wakati wa kuwaondoa wamachinga wote sehemu zisizokuwa rasmi kibiashasha na kuwatafutia sehemu rasmi.
Lazima tuwe na utaratibu sasa, jiji la Dar wamachinga wamekuwa kama uchafu, ukifika Kariakoo barabara Msimbazi, makutano ya Msimbazi Uhuru wamacinga mpaka...
Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.