1. Kumfukuza machinga ndani ya nchi yake ni unyanyashaji
2. Kutumia nguvu Ni kudharau wasomi na vyuo vikuu vyetu kuwa vimeshindwa kuzalisha wasomi wa kusaidia jamii kutatua Changamoto kama hizi
3. Kuona wamachinga ni tatizo katika jamii ni ubinafsi na kudhani nchi Ni ya baadhi ya watu. Lkn...
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?
Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?
Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.
Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi.
Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Wengi wanapoteza...
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution) ambapo matumizi ya teknolojia ya kisasa yanachukuwa nafasi kubwa kwenye uzalishaji na ubora wakati hasara ya mapinduzi haya ya nne ni rasilimaliwatu kukosa fursa za ajira ambazo zimechukuliwa na teknolojia (mashine na...
Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana.
Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
Kama taifa, ninashauri tutengeneze mkakati mzuri wenye tija tuwauze Wamachinga nje ya nchi kama #nguvukazirahisi (wakafanye kazi zile ambazo ni labour intensive/mitulinga lakini wanaretain uraia wao wa Tz) ikiwa hatuna mpango maalum wa kuwatumia hapa nyumbani. Mbona Wachezaji wanauzwa! Korea...
Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya.
Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere.
nini kifanyike?
Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
Malori yanekuwa msaada mkubwa kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda sehemu mbali mbali za Tanzani na nje ya Tanzania.
Tatizo ni jinsi yanavyohudumu hapo katikati ya mji yaani kariakoo, ni shida kiasi mitaa mingine huwa inafungwa tena kuanzia asubuhi hadi usikua kulia lori...
Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea.
Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu...
Siweki neno:
Lakini ukitaka kujua kwa nini wamachinga walimlilia sana, kujitokeza kwa wingi njiani kumzika ni hii hapo juu
Hata Rais wa awanu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakati akisoma Tanzia yake huko Chato, alimsifu Hayati kwa kutowasumbua wamachinga kwenye utawala wake!
Wamachinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.