wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kifurukutu

    Machinga waanza kuisoma namba stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho

    Ikiwa bado tu hayati Magufuli hajazikwa, Machinga na wafanyabiashara wadogo katika stendi ya Magufulu kwa mabasi yaendayo mikoani tayari wameaanza kushikishwa adabu na mgambo wa jiji Kiufupi hawatakiwi kufanya biashara zao ndani na nje ya stendi. Namba inasomwa kweli kweli
  2. 2019

    Wamachinga a.k.a Wanyonge mmezalisha ajira ngapi toka 2015?

    Duniani kuna leo na kesho hili halitobadilika, na hakuna anaejua hata dk 1 mbele yake kitatokea nini. Wamachinga kupitia JPM walipewa uhuru wa kutosha kabisa, hadi ukawalevywa wakawa kama ndio wenye nchi, wana haki zote, wao waliamua wafunge barabara ili wafanye shughuli zao, kama una gari...
  3. J

    MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

    Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi. Watu ni wengi sana. Up dates; ==== WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
  4. Analogia Malenga

    Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 Rais aendelee kubaki madarakani

    Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi. Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani. Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa...
  5. Kinoamiguu

    Kulikoni Wamachinga walipie vitambulisho mara mbili?

    Habari za majukumu wakuu. Nilikuwa nangalia Azam TV asubuhi hii. Mtangazaji alikwenda stand ya Segerea kuwahoji watumishi wa stand ile. Miongoni Mwao ni mfanyabiashara mdogo. Kwa mujibu wa mfanyabiashara yule ni kwamba wao walishalipia VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA tsh 20000 kwa mwaka. Hata...
  6. ommytk

    Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  7. Erythrocyte

    Mpango wowote wa TRA kukamata wasiodai risiti hautofanikiwa hadi pale Wamachinga watakapoondolewa

    Ni vigumu sana kujua nani kanunua bidhaa zake wapi, hii ni kwa sababu Wamachinga wanauza kila kitu kinachouzwa madukani tena bila kikwazo chochote. Wamachinga wanauza nguo, simu, vifaa vya simu, vifaa vya mahospitalini, vifaa vya shule, TV , vifaa vya majumbani na maofisini, ikiwa ni pamoja na...
  8. MSHINO

    Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
  9. Street Hustler

    Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wamachinga kuzagaa pembezoni mwa barabara za magari na wapita kwa miguu na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hizo. Hii ipo kwenye mikoa Kama Dar es salaam mwenge - ubungo Ubungo-shekilango-manzese-magomeni Kariakoo-karume-ilala-buguruni...
  10. Erythrocyte

    Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

    Hii ndio habari mpya baada ya bunge kuzinduliwa .
  11. Viol

    GE2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

    Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki. "Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza...
  12. Mathayo Fungo

    GE2020 Lissu hutaweza kututoa wamachinga mitaani

    Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini. Katika kampeni zake, Lissu...
Back
Top Bottom