walipwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  2. idiomer

    Kwanini walimu wanalipwa kama vibarua??? Walipwe perdiem sheria zinadilishwe.

    Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe??? Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
  3. SSH2025_2030

    Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  4. JanguKamaJangu

    RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  5. Mende mdudu

    Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa. Naomba kuwasilisha.
  6. Intelligence Justice

    Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  7. G

    DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  8. Roving Journalist

    KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  9. Suley2019

    CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza. Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
  10. Mzalendo Uchwara

    TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  11. Roving Journalist

    Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
  12. Pdidy

    RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  13. Roving Journalist

    Wawasilisha Barua Ubalozi wa Ujerumani wakitaka walipwe fidia kutokana na Babu na Bibi zao kuteswa wakati wa Ukoloni.

    The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni. Kupitia taarifa yao...
  14. kavulata

    Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi...
  15. Shark

    Masuria wa Viongozi nao walipwe ili kuwatia moyo

    Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo pia watoto wa hao wakubwa nao wawe...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
  17. Sildenafil Citrate

    Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  18. mirindimo

    Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  19. M

    TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  20. BigTall

    Walinzi wa Mlimani City wafanya mgomo wa kudai walipwe mishahara yao

    Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
Back
Top Bottom